Ndoto za mchaga 2015

Ghosryder

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
10,317
4,303
Hallhoo Marealle, Shimbonyi mbee! habari ya foo, Huku kwetu madili hayachanganyi mangi, tunasubiri lile dili la bro Freeman likitiki mangi itakuwa poa maana palle ikulu tutatinga na washkaji wa kishimundu kama home! Tena amesema mikutano yoote ataleta kwenye hoteli yangu au ya Mushi, Tarimo, Mtei na ya wakina Shangali, we wacha tu mangi, tumenyanyasika sana mangi! eti walikuwa wanasema sie wachaga hatufai kushika ikulu eti tuna ukabila! cha! yaani kumwambia Swai apate tenda ya kulisha ikulu imeshakuwa ukabila!....... itaendelea.
 
Kweli bhana tusipotumia udini na ukabila ukawa watatusumbua bhana tuzushe kuwa nyerere alikuwa mchaga wa marangu ndio maana ugavana akampa mtei wa machame waziri mkuu akawa mchaga mwingine Osca kambona ndo maana wachaga wana maendeleo waliiba ikulu.sasa wameondolewa ikulu hawana kitu. Hawa wachaga ndo wanaeneza ukatoliki serekalini-----unaonaje tukiiweka hivo kijana ----si itatusaidia?Kama tulivotangaza kuw Dr Slaa ni mchaga japo sio hebu formulate vizuri fitina ya kuwagawa watanzania kwa maslahi ya chama chetu maana hatuna tena hoja mbele ya jamii tunanuka.
 
Back
Top Bottom