na hili umesahau,anawashughulikia wandishi wa habar wote nchini watakao kuwa wanaandka habar zake vibaya,akihakikisha familia yake inaishi peponi,
"Kuona wakulima wa Tanzania wanapata soko la uhakika la mazao yao na wanawezeshwa kushiriki kwenye shughuli nyingine za kujipatia kipato; vijana wanapatiwa elimu bora katika ngazi zote itayowapa ujuzi wa kuajiriwa na kujiajiri wenyewe; sekta binafsi inawezeshwa ipasavyo kwa kupunguza vikwazo na kuboresha miundombinu ili ichangie kwenye pato la taifa ipasavyo; na mwisho, huduma bora ya afya inatolewa bila malipo kwa wajawazito, watoto na wazee"
jibu hoja, sio jazba

funza lowasa anaumwa. ni kazi ya mungu wala usimsingizie mtu
Hoja hii hapa : R.I.P Barozi wa Libya ulikufa ukitetea mkwanja wa Libya usikwapuliwe na Benard membe , sasa hayo mapesa ya Marehemu Gadafi yanatumika vibaya , yanatumika kuchonganisha watu, kuchafua watu kwenye mitandao, yanatumika kununua njia ya kuelekea ikulu Pesa za Gadafi ni Shiiiiiiiiiiida ! Nenda kamuulize baba yako Membe ni Kwa nini asizitumie hizo Pesa za Gadafi kuwakwamua wale Masikini na fukara pale kijijini kwao awape mikopo au hata awawezeshe Pia ajenge miundo mbinu kijijini kwao kuliko kutumia pesa nyingi kumchafua Lowasa huku ndugu zake wakilala kwa njaa.
Ugonjwa hauna hodi kila mmoja aweza kuugua mda wowote ule, japo Membe anajiona yeye ni Mungu hawezi kuugua ndiyo Maana kaamua kumpakazia Lowasa Ugonjwa ili yeye aonekane ni mtu asiyeumwa hata aking'atwa na nyoka, inabidi Membe atambue Kuwa mwaka 2015 bado ni mbali kiafya yeyote aweza kuugua hata kipindu pindu kisha watu wakashangaa , hapa Tz Hakuna aliye Msafi kiasi cha kumnyooshea mwenzake Kidole, kila mmoja ana madhambi na mapungufu yake.
funza pole; kumbe umelewa. ukiwa sober karibu tujadili. suala la mtu kuchafuliwa lipo wapi hapa. acha ulevi.
Tujadili nini? Wewe unamtetea Membe ulikuwa ukidhani ni Mungu Mtu sasa umebaini kumbe yeye ana yake Mabaya unaanza kuchachawa nani mlevi ? Wewe unayemtetea membe ndiyo uache Ulevi kumbuka mjadala umeanza hivyo kila mwenye yake analeta hapa.