Duuuh! Hizi NDOTO Jamani!? :sleep: Na mi leo nimeoteshwa Dawa; Natibu magonjwa yote SUGU na yasiyo sugu, Situmii Kikombe, na wala simtozi Mtu 500/-! NIKIKUSHIKA MAKALIO TU UMEPONA.... KARIBUNI NYOTE SASA!!!:welcome:
Watakuwa wanakushika wewe sasa ili waendelee kukushika wanakuotesha kwamba wakimaliza utaenda kuwashika wenzako, na usipoamka watakufanya vibaya shauri yako amka.