ndoto kwa wazazi waliofariki.

ndoto kwa wazazi waliofariki.

kunyala

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
76
Reaction score
18
wataalamu naomba mnijuze nini kinaweza kusababisha ndoto za mara kwa mara kwa wazazi walikwisha tangulia mbele ya haki.
 
Wafanyie misa Kama mkristo, au dua kwa waislamu, lini Mara yako ya mwisho kufagilia makabuli?
 
wataalamu naomba mnijuze nini kinaweza kusababisha ndoto za mara kwa mara kwa wazazi walikwisha tangulia mbele ya haki.
Ni upendo tu uliokuwa nao kwao, ndo maana wanabaki kwenye mawazo yako. Kama dini yako inaruhusu kuwaombea marehemu, basi fanya ibada ya kuwaombea pumziko la amani. Mfano, kama mkatoliki omba misa kwa ajili yao.
 
inategemea ndoto hizo zinakuwaje, labda ukimwaga zaidi utaweza saidiwa.je walifariki vifo vya kawaida bila utata?
 
inategemea ndoto hizo zinakuwaje, labda ukimwaga zaidi utaweza saidiwa.je walifariki vifo vya kawaida bila utata?

ni ndoto za kawaida tu kiongozi.naota kama nipo nao na tunaendelea na maisha tu.ili la dua na misa nadhani ni muhimu nawashukuru sana wadau.
 
Inatokana na kitu kipo kwenye ubongo kinaitwa 'power of concentration', jaribu kuacha kuwawazawaza kila mara. Kumbuka mtu akifa amekufa, huwezi kumuombea wala kufanya chochote juu yake.
 
Back
Top Bottom