Cha kushangaza unakuta ata Elon mask anaota hizi ndoto[emoji28][emoji28]Ndoto za kishule shule ni kurudi nyuma kimaisha.
Jiangalie ulipo, ama siku si nyingi utapoteza kazi.
Ndoto hazina maana yoyote. ni picha ya ubongo ina jitengenezea..Habari wapendwa wa jukwaa hili,
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto hii; niko sekondari na washkaji zangu wawili (katika hao wawili mmoja nimesoma naye kweli sekondari lakini mmoja tulisoma naye primary) na tulikuwa tukifundishwa somo la Kiswahili na mwalimu ambaye kiuhalisia alinifundisha somo la Historia sekondari.
Katika hii ndoto hao washkaji wawili walikuwa wakigombana darasani, mimi nikiwatazama.
Nini tafsiri ya hii ndoto?
NB: Huwa naota hizi ndoto za kuwa shule mara nyingi.
Huu ni ukweliii..au kuna jambo alipokuwa sekondari hakulitimiza katika ufaulu wake.pia ndoto hii pia inamaana kunajambo inatakiwa alitimize ile maisha yake yakae sawa.Ndoto za kishule shule ni kurudi nyuma kimaisha.
Jiangalie ulipo, ama siku si nyingi utapoteza kazi.
Umejenga, mke, familia, kipato?Niko kimaisha