muhuni mpya
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 300
- 166
mawazo yako tu mzee baba ila inaweza kuwa ni kipindi kama hiki alikufa ebu tafakari vizuri. ila msubirie mshana jr haya ndo mambo yake.
kama ni kipindi kama hiki mwaka jana ndo maana ndoto inakuja, ila wajuzi watakuja kutoa maelezo zaidi kuhusu kula mayai na marehem nk. stay tunedNikweli alifarik mwez huu mwaka jana hapo mwanzo nikilala zinanjia sauti za ajabu ajabu kichwani zikakata lakin saiv nimwendo ndoto, sijui kwanii
sawakama ni kipindi kama hiki mwaka jana ndo maana ndoto inakuja, ila wajuzi watakuja kutoa maelezo zaidi kuhusu kula mayai na marehem nk. stay tuned
Natamani kukusaidia na kukueleza ninini hichoNikweli alifarik mwez huu mwaka jana hapo mwanzo nikilala zinanjia sauti za ajabu ajabu kichwani zikakata lakin saiv nimwendo ndoto, sijui kwanii
Natamani kukusaidia na kukueleza ninini hicho
Bila Shaka mlimpenda sana na aliondoka wakati mnamhitaji..Fanya maombi maalum hali hiyo itaisha
Mkuu hii kitu si ya kupuuzia usidanganywe na watu wanaokuambia ni mawazo yako
Ndg Wilson..usijali hiyo NI ujumbe (ulimsahau Sana) kuwako..umkumbuke kwa kumtolea Swadaqa (wape Masikini/fukara) na mrhm.Mzee wako anahitaji Dua'a zako umuombee Rehema kwa Mola !!Asante
mzee wako yupo Mkuu hii inaweza kuwa ni ajabu but ni ukweli wenyewe dunia inasiri sana kwa tunaojua huwa hatushangaiNikwel Kabisa si mar mbili au nimda mwingi
Ndg Wilson..usijali hiyo NI ujumbe (ulimsahau Sana) kuwako..umkumbuke kwa kumtolea Swadaqa (wape Masikini/fukara) na mrhm.Mzee wako anahitaji Dua'a zako umuombee Rehema kwa Mola !!
Ubarikiwe
mzee wako yupo Mkuu hii inaweza kuwa ni ajabu but ni ukweli wenyewe dunia inasiri sana kwa tunaojua huwa hatushangai
ndugu zangu waislamu mmepaelewa hapa!?akawa anasema kipindi mnanizika nlikuwa nawaona ila kufanya chochote siwezi hadi kunifukia,
Dunia inapande mbili hii kaka watu wengi wamezika vitu wasivyovijua wakidhani ni wapendwa wao kuna vitu naweza kukuambia vilivyo fanyika siku ya msiba huo japo sikuwepo ila kwakuwa najua haya mambo yalivyo ninaongea tena Mzee wako hakufa na hajawahi kufa ila amefichwa machoni penu tu na wajanja flani flani haya mambo yaposijaelewa vizuri nifafanulie ndugu
Nimeelewa sasa ndugu, nifanyaje hapa?Dunia inapande mbili hii kaka watu wengi wamezika vitu wasivyovijua wakidhani ni wapendwa wao kuna vitu naweza kukuambia vilivyo fanyika siku ya msiba huo japo sikuwepo ila kwakuwa najua haya mambo yalivyo ninaongea tena Mzee wako hakufa na hajawahi kufa ila amefichwa machoni penu tu na wajanja flani flani haya mambo yapo
ni pmNimeelewa sasa ndugu, nifanyaje hapa?