Mkuu naomba ufafanue ni uzembe ni upi, maana golipkia alikuwa na mpira mkononi ingelikuwa mpira umerushwa na kipa kwa adui na akafunga bao hilo halina ubishi undelikuwa ni uzembe lakini sio kwa hali ileInaonyesha sio mfatiliaji wa mpira, pole sana pale akumvamia ni uzembe wa kipa tu ule.
Sio lazma kila Uzi uchangie alfu usipende kudharau mada za watu na kujifanya upo perfect sana embu yaandke hapa hayo mambo yako ya muhimu unayotaka uyajadiliTuna mambo mengi ya kujadili
Hilo la ndondo lingepelekwa fb ingefaa sana
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Ok ahsanteSio lazma kila Uzi uchangie alfu usipende kudharau mada za watu na kujifanya upo perfect sana embu yaandke hapa hayo mambo yako ya muhimu unayotaka uyajadili
Umemsikiliza yule kipa wa GOMZ leo kwenye kipind cha leo tena? Mpira ni mchezo wa makosa na kipa alidhan jamaa yupo Mbali na yeye so akawa anapoteza muda ila jamaa akamzuga chap akaugusa mpira ikawa goli na kosa la kipa ni kuuchezea mpira katikati ya goli angetakiwa atoke pembeniJana nilikuwa nyumbani naangalia fainali ya mpira mashindano amabayo hivi karibuni yamejizolea umaarufu mkubwa hasa kwa vibweka na manjonjo ambayo huambatana na mashindano hayo!, ilikuwa ni fainali ya Ndondo cup, nia nzuri ya mashindano haya ni kusaka vipaji ni jambo jema ambalo hakuna mtu atapinga, lakini kuna kitu kilitokea pale uwanjani ambacho kinastahili kuangaliwa kwa jicho la tatu, kama yalivyo mashindano hayo ni kusaka vipaji, kuliibuliwa vipaji vingi ikiwa ni pamoja na mwamuzi wa Jana ambaye ni kijana mdogo ambaye alionekana ni makini Hadi kupewa jukumu hilo kuchezesha fainali hiyo.
Utata ulikuja mara baada ya goli la Misosi ambalo limeacha maswali mengi ni kitendo cha mchezaji wa Misosi "kumvamia" golikipa wa Gomz na kumpora mpira hatimaye kuweza kuweka mpira kimiani na kuwa bao la kusawazisha kwa timu hiyo,
Kwangu Mimi sikuona uhalai wa bao hilo sijui watu wengine wana mawazo gani juu ya hili namuona refa hakuwa na uzoefu wa kutosha kuruhusu bao lisimame, badala yake mshambuliaji wa Misosi alitakuwa apewe onyo kwa kupewa kadi,
Ukweli kwa hatua ile na ikizingatiwa ilikuwa ni fainali ilistahili iwe imechezeshwa na muamuzi wa hali ya juu, kama ambavyo tuna shuhudia mashindano mengine makubwa huweza kuamuliwa na waamuzi wazoefu, kama lengo ni kuibua vipaji vya marefa nafikiria zoezi Hilo lifanyike kwenye hatua za mwanzo wa mashindano hayo lakini sio katika fainali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba ufafanue ni uzembe ni upi, maana golipkia alikuwa na mpira mkononi ingelikuwa mpira umerushwa na kipa kwa adui na akafunga bao hilo halina ubishi undelikuwa ni uzembe lakini sio kwa hali ile
Unaweza kukiri kosa kama hujui sheria ukweli sheria ziko wazi na goal keeper analindwa na sheria hizoUmemsikiliza yule kipa wa GOMZ leo kwenye kipind cha leo tena? Mpira ni mchezo wa makosa na kipa alidhan jamaa yupo Mbali na yeye so akawa anapoteza muda ila jamaa akamzuga chap akaugusa mpira ikawa goli na kosa la kipa ni kuuchezea mpira katikati ya goli angetakiwa atoke pembeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzembe wa kipa ndio nafasi waliotumia wapinzan na ni goli safi kabisaUnaweza kukiri kosa kama hujui sheria ukweli sheria ziko wazi na goal keeper analindwa na sheria hizo
Asante kwa video, neno possession Lina maana kubwa na limeelezwa kwa kirefu katika sheria za mpira, na maana halisi, ukweli goalkeeper alikuwa in possession of the ball na Hilo bao halikustahili
Broo Mimi nlikuwa uwanjan!Asante kwa video, neno possession Lina maana kubwa na limeelezwa kwa kirefu katika sheria za mpira, na maana halisi, ukweli goalkeeper alikuwa in possession of the ball na Hilo bao halikustahili