Mkuu acha wabutuane kwani wamevunja sheria gani kuna Watu wanaishi kwakuuza Ali kasusu na vumbi la Congo unataka wale wapiKumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni. Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.
***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.
View attachment 2048638
Lakini mbona vyuo vya Kitanzania bado vinafanya vizuri au inabidi tuwe kama wenzetu?Mkuu
Nilisoma UDSM mid 2000's na nilikaa Hall 2 na Hall5 miaka yote minne...
Nimekuja huku America ndio nikajua huku duniani watu wapo serious na elimu na kazi kwa ujumla
Nikaelewa kwanini elimu ya America ndio the best na most expensive in the world
Ndio najua kwanini all the best brains come from all over the world and come to compete here
Sio naongea kwa hasira mkuu...Mimi wanangu hawatakaa wakanyage High School au College Tanzania...
Ninajinyima ninakusanya kila thumni nitajitahidi kwakweli wasisome huu ujinga TZ...
Ni kama wazazi wanavyokwepa shule za Kanyumba kwa sasa....College za Tanzania ni za kukwepa kabisa kama ukoma
Nitauza viwanja vyangu nitavunja hata BOT kabisa....aidha nife
Pengine wewe siyo mzazi. Lkn kwa wazazi inauma sana.
Siku wakifiwa wewe ndio utatoka mbele wakiita mzazi wake?
Kapewa na pension ambayo ni HIVHalafu baadae unakuta boya moja linajisifu kuwa limeoa msomi wa chuo kikuu, kutokujua kaoa kahaba mstaafu.
America, US? Chuo gani?Freedom ya kujiumiza mwenyewe na wengine sio freedom my dear
Vyuo vya Tanzania vinafanya vizuri?
Compared to who?
Ni bora umsomeshe Kenya au Uganda ni best education na cheaper...
Ile miaka ya wazazi walikua wanapeleka watoto Kenya na Uganda kusoma primary inarudi kwenye issue ya vyuo sasa
Mimi nimesoma UDSM,ilikua ya 7 Africa now ni ya 26 Kenya ni ya 6..tunazidi kwenda chini
Competition ya elimu itafika pahala wazazi watakua hawataki peleka tena watoto UDSM....mimi hela yangu yote nitasomesha watoto wangu Ulaya,natembea na ndala for this
I cant allow this nonsense....
Nimesoma America postgrad,aisee acha tu,ukisikia watu wapo serious na hiki kitu kinaitwa Elimu my friend,these motherfvckers mean it,kuanzia conduct,timetable,practicals,research,journals,paper writing,presentantions,etc no shortcuts ndugu
I wish ningeanzia high school huku
Unalo wazo zuri Ila kwa uelewa wangu nimeishi hizo maeneo.Ndio maana nasema
Kama serikali imeamua kukiharibu hicho chuo na vingine,tunakua nyuma ya Kenya na Uganda,sasa hivi Rwanda wanatupita,basi kila mwananchi achukue hatua mkononi mwake yeye kama yeye
Ndio nikatoa mfano,kama una mashamba yako na mtoto wako unamwamini unauza vipande kadhaa unamsomesha Ulaya walao atoke na cha maana
Au kama unajiweza kifedha kikwelikweli unampeleka shule za maana America huko akapambane na wajanja duniani huko
Ile miaka ya kuiamini UDSM ishaisha...sasa hivi ni patapotea mkuu
BangeWatavuna wanachopanda.
Ninaposema tunafanya vyema sikuwa na matarajio kwamba utasema tujilinganishe na wenzetu(ndio,kama inabidi kufanyika basi tutafanya ushindani) lakini sisi tunakuwa bora pale ushindani ukiwekwa pembeni.Freedom ya kujiumiza mwenyewe na wengine sio freedom my dear
Vyuo vya Tanzania vinafanya vizuri?
Compared to who?
Ni bora umsomeshe Kenya au Uganda ni best education na cheaper...
Ile miaka ya wazazi walikua wanapeleka watoto Kenya na Uganda kusoma primary inarudi kwenye issue ya vyuo sasa
Mimi nimesoma UDSM,ilikua ya 7 Africa now ni ya 26 Kenya ni ya 6..tunazidi kwenda chini
Competition ya elimu itafika pahala wazazi watakua hawataki peleka tena watoto UDSM....mimi hela yangu yote nitasomesha watoto wangu Ulaya,natembea na ndala for this
I cant allow this nonsense....
Nimesoma America postgrad,aisee acha tu,ukisikia watu wapo serious na hiki kitu kinaitwa Elimu my friend,these motherfvckers mean it,kuanzia conduct,timetable,practicals,research,journals,paper writing,presentantions,etc no shortcuts ndugu
I wish ningeanzia high school huku
Halafu baadae unakuta boya moja linajisifu kuwa limeoa msomi wa chuo kikuu, kutokujua kaoa kahaba mstaafu.
K tamuHalafu wanadai shule ngumu *****.
Mmh.Apo savei π ni kisanga
Watunukiwe honorary doctorate sio?Apo savei π ni kisanga
Wapi mkuu.. Hivi Bulls bado inabamba?Apo savei [emoji119] ni kisanga
Pamefungwa, 5N Napo pa ovyo. Mizigo ipo Mawasiliano Park
Ah Sawa... Saiv nguvu za kuona usiku zimepungua... Usingizi unanichukua mapema sana.Pamefungwa, 5N Napo pa ovyo. Mizigo ipo Mawasiliano Park