Ndoa za siku hizi

hapo sasa,maharusi wengine wanakuwa na watoto kabisa.... siku hizi hakuna kufunga ndoa ni kuzibariki tu!!!!
Huu ndio ukweli! asilimia 80% za hufungwa wakati mimba ina miezi zaidi ya mitatu, 18% wakati wana watoto tayari na 2% wakati wamekaa pamoja kama mume na mke kwa zaidi ya miaka mitatu. Kwa takwimu hizi 0% ndio ndoa sahihi, sasa kuna haja gani ya kwenda kanisani! Mbaya zaidi hata harnmoon hakunaga kabisaa!

Ni kusubiri muda wa vibweka ukumbini!
 

sijui kama kwenye kicheni pati kuna vitu vipya kwao teh!!!
 

kupasha kiporo boss Mentor
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…