mimi huwa nahudhuria ukumbini tu
mimi huwa nahudhuria ukumbini tu
Tunapewaga kadi za mwaliko/ ufadhili wa harusi......
harusi zipo ukumbini ndoa kanisani!!!!!
Ndoa walishafungaga tangu mara ya kwanza wanalalana so hakuna haja ya kwenda church. Tena unakuta kavaa na shela af mimba miez saba.
Heri ukumbini mkale pilau tu bana.
habari za jioni wadau nafatilia kipindi cha chereko na kutokana na experience nimegundua ndoa za siku hizi kama zinafungiwa sehemu za dini au kwa mkuu wa wilaya utakuta watu.ni wachache kuliko wakati wa sherehe... unaeza kuta watu saba hata nane wakati wakati wa sherehe watu wanajaa nisahihisheni kama sitokua sahihi hivi wakati wa kufungusha ndoa si mdo wa muhimu zaidi kuliko sherehe maana ile ndo yahtaj mashuhuda zaidi?
hata mie duhh!! labda kama nasimamia ndiyo naanzia kanisani!!!
hapo sasa,maharusi wengine wanakuwa na watoto kabisa.... siku hizi hakuna kufunga ndoa ni kuzibariki tu!!!!
Watu wanakosea, ibada ya ndoa ni ibada takatifu kama zilivyo ibada zingine, inatakiwa watu wawepo kwa wingi kushuhudia na kumshukuru Mungu kwa muunganiko huo. Kwenye kanisa langu ninakumbuka kijijini tulikuwa tunajaa sana kanisani lakini huku mjini watu hudharau na kufika ukumbini tu. Siku hizi ndoa imefanywa ya mtindo.
Ni jambo la kusikitisha.. Watu wanathamini kwenda kwenye maakuli kuliko kuwasindikiza maharusi katika tukio lenyewe...
huu utamaduni unakuwa kwa kasi ya ajabu, yani kanisani utakuta wazazi, ndugu wachache na marafiki wa karibu mmoja mmoja.
Kanisani ndo kuna ndoa.. Yanayofuata baada ya hayo ni manjonjo tu lol. Aidha.. Kwa kuhudhuria kanisani kwa wale ndoa zao zimeanza kusua sua wanaweza kupata kitu cha kuwajenga na kuimarisha tena ndoa yao.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Evelyn Salt, yaani inaonyesha hujui tofauti ya ndoa na harusi.... Upya unahusika hapo..Tunapewaga kadi za mwaliko/ ufadhili wa harusi......
harusi zipo ukumbini ndoa kanisani!!!!!
Evelyn Salt, yaani inaonyesha hujui tofauti ya ndoa na harusi.... Upya unahusika hapo..
Si hapo ulipothema .......harusi zipo ukumbini ndoa kanisani!!!!!....... kwenye post yako namba 4 ya hii threadWapi hapo umeona sijui tifauti!!!
Si hapo ulipothema .......harusi zipo ukumbini ndoa kanisani!!!!!....... kwenye post yako namba 4 ya hii thread