F Frank Bunini New Member Joined Jun 8, 2025 Posts 1 Reaction score 1 Jul 27, 2025 #1 Hadi leo hii kwenye jamii yetu bado kuna msukumo wa watu kuoa au kuolewa kwa kulazimishwa. Mtu analazimishwa kumuoa/kuolewa na mtu fulani kwa sababu tu wanazozijua wao wazazi. Hili wadau limekaaje kwenye dunia ya sasa? #JF
Hadi leo hii kwenye jamii yetu bado kuna msukumo wa watu kuoa au kuolewa kwa kulazimishwa. Mtu analazimishwa kumuoa/kuolewa na mtu fulani kwa sababu tu wanazozijua wao wazazi. Hili wadau limekaaje kwenye dunia ya sasa? #JF
Cherecheche JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 4,853 Reaction score 9,369 Jul 27, 2025 #2 Wapi huko bwana bhunini ?