Sasa mbona hapo hakuna swali!! Yaani inawezekana ulikuwa ni msinziaji mzuri wakati unahuduria hizo harusi au hukuwa unasikiliza kwa umakini kinacho endelea hapo kanisani kwa sababu zako binafsi.
Hayo maneno hayawezi kutolewa bila sababu za msingi. Na ndoa za kikatoliki bado zina nguvu ile ile! Na hata idadi ya hao wanandoa wanao achana binafsi nadhani ni ndogo sana ukilinganisha na ya wale wanao komaa mpaka mwisho.
Hivyo upotoshaji kwenye hii mada yako, kubali tu haukwepeki!
Bado kuruhusu wanaume kuwa na mke zaid ya mmoja na padri nae aowe .
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Sheria ya Papa. Maana Wakatoliki wanamchukulia Papa kama ni robo tatu ya YESUUenda Ni sheria mpya
Ngj waje tujue
Sakramenti ya ndoa kwa kanisa katoliki ndio sakramenti inayoadhimishwa na wanandoa wenyewe hivyo kiapo kiwepo au kisipokuwepo haibadili maana ya ndoa cha msingi ni makubaliano ya wanandoa mbele ya shahidi mwakilishi wa kanisa ( padre, askofu n.k) mnaweza kwenda kanisani mkamwambia padre tubalikie ndoa yetu yeye akasema tu kwa jina la baba na la Mwana na la Roho Mt. tayari ni ndoa bila ya nyie kusema lolote.Habari za huku,
Nimebahatika kuhudhuria ndoa mbili za kanisa katoliki, nimeona siku hizi neno “KATIKA SHIDA NA RAHA MPAKA KIFO KITUTENGANISHE” halitumiki tena.
Hii inaashiria nini? Ndoa za kanisa katoliki mnaruhusiwa kuachana kikanisa au divorce rate imezidi kua kubwa hivo hamna umuhimu wa kutumia maneno hayo?
Kwa kawaida maneno haya husemwa na Padri “ alichokiunganisha Mungu mwanafamu asikitenganishe” kama padri kasema hivi kuna haja gani ya wanandoa kirudia maneno yenye muktadha ule uleSikiliza hiyo video Joseph Mbilinyi Mr 2 akila kiapo cha ndoa hakusema maneno ya mpaka kifo kitutenganishe
Kwani hilo ndilo dhambi la mwisho ? hata mkiruhusiwa bado mtatenda madhambi mengine tifauti na ya ngonoNaunga mkono hoja. Hayo mambo mawili yametufanya Wakatoliki tuishi maisha ya kinafiki sana. Baadhi ya Mapadre wanaoshindwa kuishi maisha ya kiseja, wamejikuta wakinogewa kiasi cha kuwa na watoto wa kutosha tu kwa SIRI!
Ukija kwa sisi wanaume ndiyo usiseme! Wengi wetu tuna nyumba ndogo za kutosha tu!! Bora tungeruhusiwa ili unafiki upungue.
Nyakati hizo sidhani kama ubunifu/utaratibu wa ndoa ulikuwepoBinafsi. Hili suala la ndoa makanisani kwa uchunguzi wangu naona ni la kisiasa zaidi.
Maana ukiangalia hao Abrahamu na Sarah, Isaka na Rebeca,Yakobo na(Lea,Raheli,Bilha na...) Joseph na Maria hakuna aliyefungishwa ndoa Sijui Kanisani,Sinagogini,wala Hekaluni.
Yes haya mambo yameletwa baadae sana sana kisiasa. Ukisoma kisa Yakobo utaelewa jinsi ndoa ilivyo .Yeye alipoona umri umefika akamweleza baba yake Mzee Isaka,Baba akamweleka aende kwa Mjomba wake Labani ana mabinti akaoe binamu yake. Yakobo akaenda kwa Mjombae akamweleza shida yake,Mzee Labani akakubali kwa masharti ya kuchunga ng'ombe kwa miaka saba(Mahari) ,akimaliza atapewa mke.Nyakati hizo sidhani kama ubunifu/utaratibu wa ndoa ulikuwepo
Wanatumia maneno gani?Habari za huku,
Nimebahatika kuhudhuria ndoa mbili za kanisa katoliki, nimeona siku hizi neno “KATIKA SHIDA NA RAHA MPAKA KIFO KITUTENGANISHE” halitumiki tena.
Hii inaashiria nini? Ndoa za kanisa katoliki mnaruhusiwa kuachana kikanisa au divorce rate imezidi kua kubwa hivo hamna umuhimu wa kutumia maneno hayo?
Soma tena andiko la mleta mada halafu linganisha na lako kisha tuoneshe maneno "HADI KIFO KITAKAPOTUTENGANISHA".
Kupenda na kumheshimu mtu ni simple tu unaweza hata kumheshimu Mzazi mwenzio.