ndoa yangu ilinitesa

huyu nilie nae yuko pouwa yeye, ni nilisha mpa maisha ya nyima mpaka nikawa na yeye, nashukuru kwa ushauri wenu wenye faraja
 
Pole sana kwa yaliyokukuta
 
Ushauri wangu kwa vijana wote waliooa au walio single USITARAJIE MAKUBWA KUTOKA KATIKA NDOA YAKO! kua flexible Lolote litakalo kua mwepesi kulikubali!
 
Kidume uwe na msimamo, nungaembe lisikuyumbishe, nyumba imemshinda anataka nini tena? simama kidume hakuna kuhama wala kumkimbia mtu, mfanye apaone kwako kama jehanam.
 
nashukuru ndugu zangu kwa kunipa ushauri,
mmeweza kuwa bega kwa bega na kunipa ujacli. mawazo yenu yameweza kunipanua akili zaidi
 
Sasa kwanini umukimbie na wewe ungekaa hapahapa mujini ili umurushe rohooooo
 
niliondoka kulinda ndoa pia kuna shamba langu nimelima na ndio limeniwezesha mpaka najiamini na nikapata usafili wangu pia nina ofic yangu huku
 
hahaha mwana Asnam utawowa lini bado nipo nipo sana unasema bado nipo sana........bibi harusi kaliwa siku moja kabla ya harusi bado mnanishauri harusi.....pole aiseh nilifikiria Chai Chungu kabadili ID nilivyoona itaendelea.
 
niliondoka kulinda ndoa pia kuna shamba langu nimelima na ndio limeniwezesha mpaka najiamini na nikapata usafili wangu pia nina ofic yangu huku

huyo zilipendwa wako ulimpa talaka au mliachana kimjini mjini wejasu.........
 
kiukweli tulipeana taraka, ili kuepusha usu
mbufu
 
iliniuma sana kukuta napigiwa nikiwa hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…