nyaggad JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 1,160 Reaction score 694 Sep 21, 2017 Thread starter #21 bado natafuta mwenza WA mkataba!
M mtoto wa mjini JF-Expert Member Joined Jan 18, 2010 Posts 1,754 Reaction score 904 Sep 21, 2017 #22 Wakati umefika sasa ndoa ya mkataba ujimuishwe katika aina za ndoa zinazotambuliwa kisheria.
BABA SANIAH JF-Expert Member Joined Oct 20, 2013 Posts 4,777 Reaction score 6,269 Sep 21, 2017 #23 Pamoja sana kiongozi.
nyaggad JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 1,160 Reaction score 694 Sep 21, 2017 Thread starter #24 mtoto wa mjini said: Wakati umefika sasa ndoa ya mkataba ujimuishwe katika aina za ndoa zinazotambuliwa kisheria. Click to expand... kweli kabisa. Mkuu!
mtoto wa mjini said: Wakati umefika sasa ndoa ya mkataba ujimuishwe katika aina za ndoa zinazotambuliwa kisheria. Click to expand... kweli kabisa. Mkuu!
nyaggad JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 1,160 Reaction score 694 Sep 21, 2017 Thread starter #25 noiselessly hunter said: Pamoja sana kiongozi. Click to expand... tuko pamoja Mkuu!
B bibinnaa JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,500 Reaction score 1,379 Sep 21, 2017 #26 Mbona hizi ndoa za mkataba zilikuwepo na zipo mpaka sasa kwenye baadhi ya madhehebu.
nyaggad JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 1,160 Reaction score 694 Dec 21, 2017 Thread starter #27 ndoa za mkataba ndio mpango!
uwepo JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 600 Reaction score 743 Dec 21, 2017 #28 haaaaa mapenzi unaweza sema kwako yameyumba kumbe kuna mwenzio bado kidogo atakuwa chizi
talentboy JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 2,104 Reaction score 2,086 Dec 21, 2017 #29 Ndoa ya Mkataba haitambuliki katika Sheria za Tanzania....na hakuna sehemu utafungishwa hiyo ndoa...kuanzia leo futa hilo wazo.
Ndoa ya Mkataba haitambuliki katika Sheria za Tanzania....na hakuna sehemu utafungishwa hiyo ndoa...kuanzia leo futa hilo wazo.