Ndoa ya mbali yavunjika

Idhae

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
609
Reaction score
277
Nishawahi soma hapa jf hasara za kuwa na mahusiano au mapenzi na ndoa za mbali.
NIMESHUHUDIA-jamaa yangu alipata mchumba ambaye walikuwa wanasoma naye chuo fulani huko morogoro, mara baada ya kumaliza chuo wakaamua kupitisha kadi za michango(mimi nimiongoni mwa waliopata kadi) kisha ndoa na sherehe ya kawaida vikafanyika. Sasa baada ya miezi 6 ya ndoa wote wakapata kazi, jamaa nachingwea mtwara na mke karagwe kagera.
KILICHOTOKEA-baada ya mke kujifungua akiwa huko karagwe mawasiliano ya simu kati yake na mume wake yalikatika, baada ya miaka mitatu mwanamke kaja kwao kusalimia huku akiwa mjamzito na kuwaeleza wazazi wake kuwa ameshapata mume mwingine na yuko mbioni kufunga naye ndoa.
Jamaa mwenye mke na ambaye anandoa na mtoto mmoja na huyo dada haamini kilichotokea. Na inasadikiwa mwanamke hataki kabsa kusikia habari zozote kuhusu mumewe huyo wa ndoa...
Ama kweli mahusiano ya mbali ni hatari tupu wana MMU
 
Fimbo ya mbali aiuwi nyoka. Maisha kokote, aina haja ya wanandoa kuishi mikoa tofauti
 
huyo mwanamke alikuwa hana msimano afu ina maana walikuwa hawatembeleani?
 
huyo mwanamke alikuwa hajampenda mumewe.mimi mkewangu yupo mbeya mwaka wa 4 sasa hajaleta uhuni huo.

Tuowe wanawake wenye tabia nzuri,tusikimbilie sura na umbo.
Pole yake
 
huyo mwanamke alikuwa hana msimano afu ina maana walikuwa hawatembeleani?

mbona unamlaumu mwanamke tu?
Unajua kwann alichukua jukum hilo?
.............
Mm naona mwanaume ndio hakuwa na malengo na mke wake, sisi wanaume mihemko ipo karibu sana mwanaume aliyekamili ni vigumu kumaliza miez miwili bila kukutana na mwanamke inawezekana jamaa alianza kuchomeka kwingne na bidada alipata hzo data
 
sipendi mahusiano ya mbali yaani hata ya nyumba ya mbili tu sipendi nataka wote under 1 roof
 
wanawake sio wakuamini sana hata hawa watoto tunaolea unaweza kukuta umepigwa changa la moto
 
Kwani wanaoishi nyumba moja hawabebi mimba za nje?hawaachani?
hiyo iko kibinafsi zaidi....
 
sijalih

Hebu fafanua vizuri kuna sehemu umesema baada ya mke kujifungua mawasiliano yakakatika then ukasema baada ya miaka mitatu......!!

Mke na mume mkae miaka mitatu bila mawasiliano Tanzania hii hii?? Mume alishindwa nini kumfuatilia mkewe kwa nini mawasiliano yamekatika?? Naona kama jamaa nae hakuwa serious thus why!! Labda ueleze vizuri palitokea nini kati kati hapa katika kipindi hiki cha miaka mitatu.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndoa ilishajifia siku nyingi sana kabla hata huyo mke hajaamua kuzaa na mtu mwingine!
Wewe mpambe ndio umestuka kumuona shemejio akiwa na mimba ila rafikiyo alishajua siku nyingi.
Distance si kigezo cha kudumu au kutodumu kwa ndoa/mahusiano. Wako wanao share kitanda daily na kila mmoja anachepukia kona yake.
 
Marriage is always a hypocritical institution! Sio za mbali tu hata za karibu! Ni kama sleeping with the enemy challange! Ndo maana tumefikia stage mume wa mtu havui pete wala nini. Anakupa tu live I AM MARRIED AND AVAILABLE! Kama vigezo na masharti unaviweza. WELCOME TO THE ADULTRY WORLD:A S wink: .

Kutokana na big expenditure ya mke, michepuko, wapambe wanakuwa wahujumu uchumi, wafujaji wa mali za uma, wachakachuaji, kila aina ya dhahama mradi tu wapate hela ya kustarehe tuu! WELCOME TO THE WHITE COLLAR CRIMES WORLD:A S wink:

Mume huyo huyo ambao si wengi ni mabosi zetu, ndugu zetu, wazazi wetu, jirani zetu tunao kwenye jamii na tunajua kabisaa he is sleeping with anything in a skirt, and he is nothing close to a good husband nor a good father, usimkute MKEWE anatoa USHUHUDA KANISANI SASA! Bwana asifiwe sanaaaaa! Amen! Kina mama wnzangu namshukuru sanaa Mungu kwa kunipa mume bora kabisaaa! Mume muaminifu kweny ndoa mpaka namuogopa mda mwengine! Hajawahi kuniudhi toka tuoane, watoto aka wanampanda kichwani inabidi niingile. Mungu anaweza jamani! Ameeeeeeeeen! Wadada ambao hamjaolewamuombeni sanaaa Mungu, hakika mtapata wazuri zaidi ya huyu wangu! Blah! Blah! Blah! Grandmaa spare us the sentiments but we couldnt agree more, he is very CHARITABLE, he doesnt count tips!:A S wink: WELCOME TO THE GAME OF LIES WORLD!
 
Imeshakufa kitamboo kingi tena wanadoa wenywe hawana hata habari, yeye mshenga ndio inaonekana imemgusa sana, eti miaka mitatu bila mawasiliano mwanamume mzima unashindwa kumtafuta mtu ambae anakiumbe chako, pengine hi ndoa ilikuwa ya mkataba yeye hakujua
 
Binafsi sitaki kusikia kabisa hizo habari....

Mwanamke kazi Bukoba mwanaume kazi Mtwara hiyo itakuwa ndoa kweli.
 

Wakati mwanamke anaanza kazi alikuwa na ujauzito wa jamaa(mumewe). Na walikuwa wanawasiliana vizuri ila baada ya mwanamke kujifungua akawa hapatikani hewani(kama alibadilisha line hivi) kisha hali hiyo ilidumu miaka mitatu hadi mwanamke alivyokuja kwao akiwa mjamzito na pia akiwa anasistiza kuwa anaye mwingine anayetaqajia kufunga naye ndoa karibuni
 
Last edited by a moderator:
Hivi lara 1 nikikuambia nataka nikuoe utakakubali maana inaonekana wewe ulishakata tamaa na ndoa kitambo kingi
Hahaaaaaa! Sijakata tamaa my dear! EXCEPT IF I MARRY ITAKUWA ALL CARDS ON THE TABLE! Fanya ufanyayo na mimi nafanya nifanyayo! Ila sio kufanyana wajinga! Mimi nikienda kwa mtu 2 minutes body language yake na mumewe najua kila kitu even the part ambazo haniambii!

Sema since wanawake wngi kuliko akubali bitter truth kuwa the bed of roses aint true anaridhika zaidi akiishi kwenye world of lies! Fine! Nakuwa sisemi BUT I KNOW! Mimi kuna wake za watu nawakubali sanaa, they play Hard ball! Anakupeni live tu I KNOW THAT MY HUBBY IS A SERIAL CHEATTER, LIER, MANIPULATING AND CANNIVING (I CANT GET A POLITE WORLD PUT HERE) AND YET I AM HERE PUTTING UP WITH HIS EVERY SHIT AND CRA.P! FOR BETTER AND FOR WORSE I AINT LEAVING HIM ANYTIME SOON! AND I DONT HAVE TIME TO PRAY FOR HIM RATHER I DRINK ALL DAY FOR THE MERCY GOD HAS SHOWN HIM! Till death do us apprt! Honoring my commitment! (Well to be honest i aint leaving him because he is rich! And my kids will be rich too, and if he dies before me i get to be rich! Who in their right minds will leave such a man! Certainly not me!). This is the spirit! ALL CARDS ON THE TABLE!

Plus kwetu sisi CORPORATE CHICS ESP MARKETING SUPPLY IS ALWAYS CONSTANT! Ofisi zote nazo present kwenye umino, na my accuired class and sophosication, not to mention my seduction skills ikipita wiki sina new entrant ntanda kanisani kuomba! Hahaaaa! Tofauti na wenzetu wa Stores wanashinda na mabox, Wahasibu wanashind na cheque book na invoice, mwalimu anashinda na wanafunzi LAZIMA UKIMWAMBIA NJOO NIKUOE ASEM HALLELUJAH! Ila mie nawaza NOT YET bado kampuni flani, na flani wanalipwa zaidi yenu wale uongo! Hahaaaaaaa! Natania tu msinitoe maini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…