Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

Msanii Nguli, Luiza Mbutu amedumu kwenye ndoa yapata miongo kadhaa, tofauti na wasanii wengi nchini.

Tumeshuhudia ndoa za wasanii wengi kutokudumu ikiwemo Dogo janja vs Uwoya, Shilole Vs uchebe, jay Dee Vs Gardner

Ndoa nyingine zilizovunjika mapema sana ni ile ya cuf Tanzania na CCM
 
Punguzeni basi makaririsho ndugu zanguni

Kuna sehemu nimekuagizia breakfast ila koment imenifanya nighairi[emoji3]
Mkuu hakuna kitu Kama kuoawana, Wanaume ndiyo tunaowa,na Mwanamke ndiyo anaolewa! Kama mahali zingekua zinatoka pande zote mbili hapo kidogo tungeweza kusema kuna kuowana Mkuu!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…