and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,216
- 39,696
Kumbe na uzee huu alikuwa bado kanunga!Msanii Nguli, Luiza Mbutu amedumu kwenye ndoa yapata miongo kadhaa, tofauti n wasanii wengi nchini. Tumeshuhudia ndoa za wasanii wengi kutokudumu ikiwemo Dogo janja vs Uwoya, jafarai Vs Shyrose, jay Dee Vs Gardner
Umekuja mjini juzi tulia tu fuatilia uzi mwishoni utamjua tuHuyo Mbutu alikuwa msanii wa nini mbona simjui
unaoana au unaolewa?Usanii na ndoa ninaamini huwa havikai pamoja kwa muda mrefu.ikitokea imekaa basi kuna mmojawapo ni muelewa/alijishusha/msanii aliacha usanii.
Hongera kwao.upendo na amani viendelee kuwa nguzo kuu maishani mwao
Nilivyo na wivu hivi halafu naoana na mtu maarufu😄😄walahi namba nitaisoma vizuri tu😁😁
Ni bonge la Musician... ni Mpiga Base guiter..Huyo Mbutu alikuwa msanii wa nini mbona simjui
Wwe ukisema cha nini,wenzako wanaseama watakipata lini!? Ndiyo mfumo wa Dunia huo ulivyo!!Nani amtongoze luiza mbutu,angekuwa anavutia wangeshaachana kwa wivu
Sasa kama sioani nae ..ile pete mwanamke anayomvisha mwanaume pale kanisani huwa ni yanini ndugu muuliza swali?unaoana au unaolewa?
Mwanamke akisha kuja na Mambo ya kuowana, na siyo kuolewa,huyo lazima atakua wale wanaharakati!!unaoana au unaolewa?
Jibu zuri sana hili.umeshapata breakfast kiongozi??kama bado tafadhali kunywa naja lipaWwe ukisema cha nini,wenzako wanaseama watakipata lini!? Ndiyo mfumo wa Dunia huo ulivyo!!
Punguzeni basi makaririsho ndugu zanguniMwanamke akisha kuja na Mambo ya kuowana, na siyo kuolewa,huyo lazima atakua wale wanaharakati!!
💯💯 anko derevaNi wazi Luiza kaweza kutofautisha maisha yake ya usanii na maisha nje ya usanii...