W wimbi la mbele JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 647 Reaction score 269 Jan 11, 2011 #1 ambayo hakuna anyeilalamikia TRA wanajua kuwa TBL hawalipi kodi ipasavyo lakini husikii kitu Daily News | ActionAid calls for tax reforms to avoid loopholes lakini TRA wazuri kuwabana wafanyabiashara wadogo wadogo
ambayo hakuna anyeilalamikia TRA wanajua kuwa TBL hawalipi kodi ipasavyo lakini husikii kitu Daily News | ActionAid calls for tax reforms to avoid loopholes lakini TRA wazuri kuwabana wafanyabiashara wadogo wadogo
Kabembe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2009 Posts 2,596 Reaction score 1,812 Jan 11, 2011 #2 I believe TRA can collect more than 700 billions per month if not Trillion,but since wao ndio wanaojipangia targets na tena wao ndio wanaotangaza makusanyo then kuwa na ushirika na TBL,TCC and richest asians na kupanga is innevitable
I believe TRA can collect more than 700 billions per month if not Trillion,but since wao ndio wanaojipangia targets na tena wao ndio wanaotangaza makusanyo then kuwa na ushirika na TBL,TCC and richest asians na kupanga is innevitable