sleemaida New Member Joined Aug 16, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Nov 15, 2017 #1 Hivi hii ndoa ya bomani nataka kuifaham vizuri kuhusu sheria zake zikoje?
K kipolwi Member Joined Sep 1, 2017 Posts 10 Reaction score 11 Nov 15, 2017 #2 Ni ndoa ambayo ni halali kisheria na inatambulika kisheria.Cheti chake kinafanana vyeti vinavyotolewa Makanisani isipo kuwa no tofauti na waislam
Ni ndoa ambayo ni halali kisheria na inatambulika kisheria.Cheti chake kinafanana vyeti vinavyotolewa Makanisani isipo kuwa no tofauti na waislam
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,840 Nov 15, 2017 #3 Ndoa kama ndoa zingine
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,657 Reaction score 50,927 Nov 15, 2017 #4 Ni ndoa kama ndoa nyingine na inatambulika kisheria ....mapungufu yake ni rahisi kuvunjika yani kama mmoja wenu anataka kung'atuka basi ni rahisi kuivunja kisheria na mkagawana mali pasu pasu.... tofauti na hizi za dini eg Roman Catholic
Ni ndoa kama ndoa nyingine na inatambulika kisheria ....mapungufu yake ni rahisi kuvunjika yani kama mmoja wenu anataka kung'atuka basi ni rahisi kuivunja kisheria na mkagawana mali pasu pasu.... tofauti na hizi za dini eg Roman Catholic
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Nov 15, 2017 #5 Ni ndoa nzuri sana