pretypriceless
Member
- Dec 29, 2016
- 45
- 47
Uwe na kanuni hiyo kama huyo mtu anaeleweka na kuaminika.... kwani mbona nyinyi wanaume mnakaa mguu ndani mguu nje?? na ukiona mwanamke kajiachia ivo ujue kutendwa kunakuja.... sijasema mtu ajibane bane lakini afanye mambo yoooote akijua anytime kuna kuachana sio kuzama miguu yote miwili kwa mtu uliemjulia ukubwani.... huo ndo ukweliHapo ndio mnapo koseaga, ukipenda penda hata 300% enjoy love, lakini ujue tu "kila kitu kina mwanzo na mwisho" na uwe tayari kuachwa au kuacha na uchukulie kawaida janga likikutokea.
Kila kitu unacho kifanya ikiwepo kupenda kifanye kwa passion na kwa furaha, sio una vizia vizia eti kisa huwa amini wanaume.
Kanuni ya kupenda ni "do more expect less" na msilazimishe standard zenu ziwe za wapenzi wenu eti ooh nimekuweka facebook mara 3 wewe hata mara moja hujaniweka, hapo ndio mnapo kosea, picha sio kipimo cha upendo ni style ya maisha tu.
Kina dada acheni kupena sumu mkikaa pamoja ndio tatizo lenu hilo.
Pia usitake relation yako na mpenzi wako iwe kama relation ya shoga yako na mpenzi wake, each relation is unique.
Ntarudi tena baadaye
Amekosea jukwaaMada nzuri ila imejificha.
Naamini huwezi kuingia kwenye mapenzi na mtu asiye eleweka, though sjui asiye eleweka yukoje.Uwe na kanuni hiyo kama huyo mtu anaeleweka na kuaminika.... kwani mbona nyinyi wanaume mnakaa mguu ndani mguu nje?? na ukiona mwanamke kajiachia ivo ujue kutendwa kunakuja.... sijasema mtu ajibane bane lakini afanye mambo yoooote akijua anytime kuna kuachana sio kuzama miguu yote miwili kwa mtu uliemjulia ukubwani.... huo ndo ukweli
Imwekwa kwenye jukwaa ka sheria nn!!?Mada nzuri ila imejificha.
Amekosea jukwaa
ingefana sana ingefikia Mmu
Imwekwa kwenye jukwaa ka sheria nn!!?
Maana mi mwenyewe naona maada kali ila watu wame isusa, kumbe hawaioni
Hahahaaaaa..... wanawake wanaowakubali wanaume kwa sababu ya pesa wamewakubali kama walivyo??? wanafunzi wanaowakubali waalim kwaajili ya maksi wamewakubali kama walivyo???Naamini huwezi kuingia kwenye mapenzi na mtu asiye eleweka, though sjui asiye eleweka yukoje.
Ila ukisha mkubalia mwanaume this means ume mkubali kama alivyo, so enjoy vya kutosha siku mapenzi ya ki isha, move on.
Sio kila mahusiano huleta ndoa yaan huo ndio ukweli. Ukisha ujua huwez pata shida
AsanteMada nzuri ila imejificha.
Sasa umemkubali kwa sababu ya pesa, hiyo sio relation, hiyo ni biashara, na kwa namna hiyo kama anakupa pesa umepata unachotaka endelea ku enjoy.Hahahaaaaa..... wanawake wanaowakubali wanaume kwa sababu ya pesa wamewakubali kama walivyo??? wanafunzi wanaowakubali waalim kwaajili ya maksi wamewakubali kama walivyo???
Kuna mama mmoja nilikutana nae, aliniambia ni mwaka wa 50 kwenye ndoa yake, alisema maneno kama yako, it needs a lot of giving in than drawing back, end of the day two of you become best friends.Hapo ndio mnapo koseaga, ukipenda penda hata 300% enjoy love, lakini ujue tu "kila kitu kina mwanzo na mwisho" na uwe tayari kuachwa au kuacha na uchukulie kawaida janga likikutokea.
Kila kitu unacho kifanya ikiwepo kupenda kifanye kwa passion na kwa furaha, sio una vizia vizia eti kisa huwa amini wanaume.
Kanuni ya kupenda ni "do more expect less" na msilazimishe standard zenu ziwe za wapenzi wenu eti ooh nimekuweka facebook mara 3 wewe hata mara moja hujaniweka, hapo ndio mnapo kosea, picha sio kipimo cha upendo ni style ya maisha tu.
Kina dada acheni kupena sumu mkikaa pamoja ndio tatizo lenu hilo.
Pia usitake relation yako na mpenzi wako iwe kama relation ya shoga yako na mpenzi wake, each relation is unique.
Ntarudi tena baadaye
AaahKuna mama mmoja nilikutana nae, aliniambia ni mwaka wa 50 kwenye ndoa yake, alisema maneno kama yako, it needs a lot of giving in that drawing back, end of the day two of you become best friends.
Maneno kuntu SanaHapo ndio mnapo koseaga, ukipenda penda hata 300% enjoy love, lakini ujue tu "kila kitu kina mwanzo na mwisho" na uwe tayari kuachwa au kuacha na uchukulie kawaida janga likikutokea.
Kila kitu unacho kifanya ikiwepo kupenda kifanye kwa passion na kwa furaha, sio una vizia vizia eti kisa huwa amini wanaume.
Kanuni ya kupenda ni "do more expect less" na msilazimishe standard zenu ziwe za wapenzi wenu eti ooh nimekuweka facebook mara 3 wewe hata mara moja hujaniweka, hapo ndio mnapo kosea, picha sio kipimo cha upendo ni style ya maisha tu.
Kina dada acheni kupena sumu mkikaa pamoja ndio tatizo lenu hilo.
Pia usitake relation yako na mpenzi wako iwe kama relation ya shoga yako na mpenzi wake, each relation is unique.
Ntarudi tena baadaye
ushauri mzuri ila wanaelewaaaaaaaHabari za mchana wana JF wenzangu.....kuna hiki kitu tunakichukulia poa sana katika maisha haya haswahaswa wadada aisee....
Unakuta mtu kamjua mkaka juzi tu basi anaanza na mawazo yake ya kutaka kuolewa mara amsumbuesumbue ooooh nipeleke kwenu mara oooh mbona hunitambulishi utakua una michepuko.... kumbe mwenzako anakua anakusoma kwanza je unafaa? pia anataka akuoneshe je kwa jinsi unavoniona maisha yangu je ntakufaa?? Sasa wewe mwanamke kisa unaona ana kauwezo ka kukununulia chips basi huyooo dada umezama...huambiwi husikiii fb na insta kooote umejaza mapicha yake bila hata kufikiria mwenzako wala hata wala hata hakupost wala nini.... sasa mtu kama huyu akija kutendwa sasa ndo anakunywaga sumu anajifia zake kisa nini.... you exoected too much... na hata akiolewa daah anakua analalamika saaaaana bila kusahau yeye ndo alilazimisha swala la ndoa
Kila siku mume akirudi kelele tu oooh mamaako kafanya hivi ooooh dada zako wako hivi ooooh sijui nini...mpaka mwanaume anakuchoka anaenda kuhudumiwa nje..... mambo yote wadada yanayotutokea kwenye mahusiano SISI NDO TATIZO....
Tujirekebishe...tujiheshimu, tujielewe tusiwe tunakurupuka ovyooo kisa mwanaume anavijihela hata kama humpendi umemganda.... kua mkweli na hisia zako......
Ushauri wa mwisho kabisa..... ukipenda usipende 100% utaumiaaaaa.... wanaume sio watu, kama vile wanavyotuona sisi wanawake sio watu.....
USIMUAMINI MTU.