Ndoa ndoano

Joined
Oct 2, 2014
Posts
74
Reaction score
6
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;-
MME: Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo.
MKE: unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu?
MME: Siwezi huo upuuzi.
MKE: Utanibusu milele?
MME: Kila mara.
MKE: Je, utanipiga?
MME: Aaaa haiwezi tokea.
MKE: Naweza kukuamini?
MME: Naam.
MKE: Jamani mpenz!!
Sasa ukitaka kujua baada ya ndoa mambo
huwaje?. Anza kusoma sms hii kuanzia chini
 
Ikitakiwa ushiriki KTS. Ulikuwepo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…