NDOA NDOANO! Mtu na Mkewe walikuwa wamelala, katikati ya usiku Mke akaweweseka "Wewe amka tena uondoke Mume wangu anakuja" Mara Mume ghafla akakurupuka akanyakua nguo zake na kurukia dirishani. Duh! Mara Akakumbuka aaah! Kumbe leo nimelala Nyumbani.
Je kati yao nani Msaliti wa mwenziwe ?