S Sugi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,392 Reaction score 295 May 23, 2011 #1 baada ya miaka mingi ya ndoa,mume anamwambia mke,"kusema kweli nilikuwa mpumbavu kukuoa wewe" Mke anajibu"ningejua kuwa ni mpumbavu hata mimi ningekataa"
baada ya miaka mingi ya ndoa,mume anamwambia mke,"kusema kweli nilikuwa mpumbavu kukuoa wewe" Mke anajibu"ningejua kuwa ni mpumbavu hata mimi ningekataa"