Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,916
- 3,748
Mema ya Ndoa yapo tena mengi tu.Hatuyasemi kwa sababu hatutaki kucheka msibani badala yake tunaona ni busara kuenjoy kimya kimyaKulingana na ukatil uliokidhir kwenye ndoa na mateso ndoa nazid kuiogopa.Wanandoa wanauana hovyo kisa wivu wa mapenz.
saiv nmeamka jiran na mkewe walikuwa wanashikana mashati.kisa mesej ambayo mke ameikuta kwenye simu ya mumewe.
imenbd nikaawamue wasj wakauana nkwepo.Ila jaman haya maisha ya ndoa magumu, kila uchao sipat sifa njema ya ndoa n baya tu ili jambo lazd kunifany niogope ndoa na kuamin kuwa ndoa n utapl.
Mkuu kwa huu muandiko wako achana na swala la ndoa kwanza,kajifunze kwanza kuandika!Kulingana na ukatil uliokidhir kwenye ndoa na mateso ndoa nazid kuiogopa.Wanandoa wanauana hovyo kisa wivu wa mapenz.
saiv nmeamka jiran na mkewe walikuwa wanashikana mashati.kisa mesej ambayo mke ameikuta kwenye simu ya mumewe.
imenbd nikaawamue wasj wakauana nkwepo.Ila jaman haya maisha ya ndoa magumu, kila uchao sipat sifa njema ya ndoa n baya tu ili jambo lazd kunifany niogope ndoa na kuamin kuwa ndoa n utapl.
Kabisa vijana wa sasa hatupendi changamotoHakuna jambo lolote linalo kosa changamoto..kikubwa ni uvumilivu na kuwekeka mipaka...mfano mm mke wangu nilisha mwambia jeuri na kuchiti ni mambo ambayo yatampa tiketi aende kwao.
ila nyeto siachi nshaizoea hainipi hasara md wote nanyetuka nainaondoa msongo wa mawazoKijana usiende pamoja na mkumbo wa mtandaoni, utashindwa kufanya mambo yako ya msingi kwa watu wachache humu mtandaoni kuendesha kampeni ambazo kiuhalisia wao hawazifanyi, nimekuona mara nyingi ukishadadia kampeni ya CHAPUTA na sasa KATAA NDOA, utapotea mkuu, tunaandika mtandaoni lakini kwenye maisha halisi hatufanyi hivyo na tuna wake na watoto. kwa hiyo kijana angalia sana usije tukakufanya usioe ili hali sisi tunafurahia MWADUI kila siku.
ndoa nazid kuikataa sioi staki utapel bora niish na mademuHakuna jambo lolote linalo kosa changamoto..kikubwa ni uvumilivu na kuwekeana mipaka...mfano mm mke wangu nilisha mwambia jeuri na kuchiti ni mambo ambayo yatampa tiketi aende kwao.
SAsa ukiishi na mademu unakuwa umekwepa nini?ndoa nazid kuikataa sioi staki utapel bora niish na mademu
mwanamke na mnunua ila kuoa stak.ndoa n utapelMkuu kwa huu muandiko wako achana na swala la ndoa kwanza,kajifunze kwanza kuandika!
Alafu mambo ya kufatilia mambo ya watu mwanaume na mashaka na wewe..
nishapoa dada,mzima ww?Pole
Mie bukheri wa afya Alhamdulillahnishapoa dada,mzima ww?