Mke asie na msimamo atanyooshwa na mkewe. Mwanaume asie na msimamo ni kichaka cha miiba. Manake yeye ndo kichwa cha nyumba afu anazungusha kichwa in circles!
Ndugu wana sehemu yao (strong bond built over 30 intimate years, huwezi kuifuta aisee). Lakini kila mmoja apewe sehemu yake na mke nae apate stahili yake. Kama mwanaume wa kweli, atajua kubalance.