Ndoa kati ya Irene na Ndikumana yashikiliwa na uzi wa buibui

Ni kweli lakini hayakuhusu.


Huu uzi ni kuwapa elimu watu waongeze ufahamu,tunajifunza kutokana na makosa

1.Ndikumana kaoa mwanamke kisa alimuona kwenye TV tu akampenda ray akawaunganisha na irene then jamaa akaoa
2.Pili inatufundisha kwamba kunguru hafugiki,hapo hela mbele starehe mbele,tujifunze ndoa haiji kwa njia aliyotumia ndikumana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…