Jackson matthew Senior Member Joined Jun 26, 2026 Posts 180 Reaction score 502 Sunday at 3:19 PM #1 Kwanza inalinda wakati,inapunguza maradhi,hupotezi nguvu maana una mke.na tena ni furaha tele show unapata mda wowote.sio kama demu anakupg saund na haji
Kwanza inalinda wakati,inapunguza maradhi,hupotezi nguvu maana una mke.na tena ni furaha tele show unapata mda wowote.sio kama demu anakupg saund na haji
Jackson matthew Senior Member Joined Jun 26, 2026 Posts 180 Reaction score 502 Sunday at 3:20 PM Thread starter #2 Bachela hawez kujiekeza n vigum mno.
EricMan JF-Expert Member Joined Oct 5, 2017 Posts 4,043 Reaction score 7,295 Sunday at 3:21 PM #3 Andika pole pole mkuu hebu edit
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 2,760 Reaction score 5,144 Sunday at 4:14 PM #4 Ndoa na iheshimiwe na watu wooote!!!
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 7,007 Reaction score 25,406 Sunday at 6:34 PM #5 Ukibahatika kumuoa mwanamke aliyetulia, itafurahia ndoa otherwise utakuwa kama Masai wa Town
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 4,423 Reaction score 9,296 Sunday at 7:42 PM #6 Haya sasa hapo kwenye kupiga mda wowote ndio kamzozo kwa walio oa wewe huo wandiko hujaona umeoanisha sehemu a na b
Haya sasa hapo kwenye kupiga mda wowote ndio kamzozo kwa walio oa wewe huo wandiko hujaona umeoanisha sehemu a na b
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,555 Reaction score 104,379 Sunday at 7:44 PM #7 Hahaha mnajifariji