Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,076
- 34,847
Mhh kuna ndoa zingine zinafupisha maisha unaolewa leo baada ya mwaka ushakuwa bibi baada ya miaka kadhaa. Umefutika ni stress up 2stress
zingine zinaleta presha na stress tu.
Hizo huwa zinaitwa ndoano
Hapo ni TENDO LA NDOA na sio ndoa yenyewe, asilimia 80% ya ndoa zinafupisha maisha, waliomo kwenye ndoa karibu wote wanasumbuliwa na pressure na stress wengine wanapata mpaka kisukari.Mhh kuna ndoa zingine zinafupisha maisha unaolewa leo baada ya mwaka ushakuwa bibi baada ya miaka kadhaa. Umefutika ni stress up 2stress
kwenye ishu hii mimi NADHANI zinazungumziwa 'NDOA ZENYE UDHATI WA MAPENZI YA KWELI' tena ambazo kila mhusika anakomaa kuhakikisha amani, upendo, furaha, uaminifu, kujaliana, nk..na sio zile 'NDOA NDOANA'...tujaribu kutofautisha my dear!!
Si ndoa ambazo kila siku iendayo kwa Mungu ni majanga tu ndani ya ndoa...Mume akitokea mlango wa mbele mke anatokea mlango wa uani.
^^
Labda zile za wanandoa wasemaji ndio nzuri,,lakini za wakimya?? Heri ambao wako single
^^
Mhh kuna ndoa zingine zinafupisha maisha unaolewa leo baada ya mwaka ushakuwa bibi baada ya miaka kadhaa. Umefutika ni stress up 2stress