EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Kuna blog unacopy
from facebook
Siku hizi post zako nizakutendwa tu kwenye hichi chama cha jf kama vipi kua choko uwatende Na wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapokuwa katika mahusiano ambayo unategemea yaishie katika Ndoa, huwa kuna Taa nyekundu ambazo huwaka kuashiria hali ya hatari kuhusiana na mtu uliyenae kwenye mahusiano.
.
Sikiliza kwa makini. Kama Mpenzi wako sio aina ya mtu ambaye unatamani uwe nae kwenye Ndoa, Basi Ndoa haiwezi kumbadilisha.
.
Kama kila siku ninyi ni ugomvi tu Jumatatu mpaka Jumatatu, Ndoa haiwezi kuwa-guarantee kuwa na masikilizano baada ya kuingia humo.
.
Watu wawili hawawezi kutembea pamoja wakaifurahia safari kama hakuna Mapatano. Upatano ni muhimu sana katika urafiki, mahusiano na Ndoa.
.
Kama mpenzi wako ni mtu wa kukuumiza kila iitwapo leo, mtu wa kukushusha thamani na kutokukuheshimu usije kufikiri labda Mkiingia kwenye Ndoa atabadilika.
.
Ndoa sio gereji ya kurekebisha tabia. Ndoa ni maisha ya uhalisia. Usiseme unampa muda wa kubadilika, ni vigumu kubadili tabia ya mtu mzima. MUNGU pekee ndiye anayeweza kumbadilisha mtu.
.
Mapenzi yasikupige upofu ukashindwa kuona Taa nyekundu. Wewe ni mtu mwenye thamani yako, sio mtu wa majaribioView attachment 1115889
Huyu bibi harusi hata mimi ningemuoa kwa majaribio..anashawishi!
Sawa sawa brother. Ujumbe wako ni mzuri sana.Unapokuwa katika mahusiano ambayo unategemea yaishie katika Ndoa, huwa kuna Taa nyekundu ambazo huwaka kuashiria hali ya hatari kuhusiana na mtu uliyenae kwenye mahusiano.
.
Sikiliza kwa makini. Kama Mpenzi wako sio aina ya mtu ambaye unatamani uwe nae kwenye Ndoa, Basi Ndoa haiwezi kumbadilisha.
.
Kama kila siku ninyi ni ugomvi tu Jumatatu mpaka Jumatatu, Ndoa haiwezi kuwa-guarantee kuwa na masikilizano baada ya kuingia humo.
.
Watu wawili hawawezi kutembea pamoja wakaifurahia safari kama hakuna Mapatano. Upatano ni muhimu sana katika urafiki, mahusiano na Ndoa.
.
Kama mpenzi wako ni mtu wa kukuumiza kila iitwapo leo, mtu wa kukushusha thamani na kutokukuheshimu usije kufikiri labda Mkiingia kwenye Ndoa atabadilika.
.
Ndoa sio gereji ya kurekebisha tabia. Ndoa ni maisha ya uhalisia. Usiseme unampa muda wa kubadilika, ni vigumu kubadili tabia ya mtu mzima. MUNGU pekee ndiye anayeweza kumbadilisha mtu.
.
Mapenzi yasikupige upofu ukashindwa kuona Taa nyekundu. Wewe ni mtu mwenye thamani yako, sio mtu wa majaribioView attachment 1115889
Mbona hajaonekana vizuri, au na wewe ni team chura [emoji3][emoji3][emoji3]
Wacha bnaaaa π π π π π πHuyu bibi harusi hata mimi ningemuoa kwa majaribio..anashawishi!
Wacha bnaaaa π π π π π π
Una maana gani?Sina maana hiyoooo...