Tazama hapa mkuu http://youtu.be/UnJJvH1bS9kVideo kwangu imegoma ila niliitafuta kwenye You Tube nikaiona. ⚽️
View attachment 155048na nichakula cha nyani kwa hiyo steve anamiguu ya chakula cha nyani?
Hawa wabaguzi ni mabwegee..kweli
ila jamaa ana ujasiri ambao nadhan haujawahi kutokea katika historia ya soka dunian
Mkuu kwa hiyo asa iv ukitaka kununua ndizi haina haja ya kusema ndizi we sema nipe chakula cha nyani!!
Hivi kwann watu weupe wanatuita sisi nyani? au kwa kua nyani wana rangi nyeusi? mbona kuna nyani weupe na sisi hatuwaiti wao nyani? kuna nyani wanaitwa Japanese Macaques na wengine wanaitwa probocis monkeys. Pia mbona wao rangi yao kama kitimoto (bastards) na sie hatuwaiti nguruwe? Kama wao wakitutupia ndizi, na sisi basi tuwamwagie pumba wale. wazungu wamedata tu, tuwapuuze.
wanaongozwa na rais ambeye ni nyani huko u.s.a
safi sana nyani
Hivi kwann watu weupe wanatuita sisi nyani? au kwa kua nyani wana rangi nyeusi? mbona kuna nyani weupe na sisi hatuwaiti wao nyani? kuna nyani wanaitwa Japanese Macaques na wengine wanaitwa probocis monkeys. Pia mbona wao rangi yao kama kitimoto (bastards) na sie hatuwaiti nguruwe? Kama wao wakitutupia ndizi, na sisi basi tuwamwagie pumba wale. wazungu wamedata tu, tuwapuuze.
Mimi naona Ndizi bora tuzibadili jina na kuziita DANI ALVES.Baada ya Dan Alves kuokota ndizi aliyotupiwa uwanjani na mbaguzi wa rangi na kuila, sasa naona watu wengi wamenunua ndizi na kula ili kumuunga mkono Dan Alves. Dan Alves alihamua kula ndizi hiyo ili mrusha ndizi afurahie kuwa sasa nyani kala ndizi.Wauzaji wa ndizi naona wameuza sana, na mimi naplan kununua ndizi ili nami niwe nyani wabaguzi wafurahie. Hongera sana kwa tendo la kijasiri Alves