hapo itabidi nirudi nilikotoka tu
hapo kwenye cheti ningezimia kabisa si kwa usawa huu wa maguHahahahaaa., kabisa hata mimi ningerudi nilikotoka nikiomba either iwe ndoto or niwe nimepotea nyumba.
hapo kwenye cheti ningezimia kabisa si kwa usawa huu wa magu
Hahahaaaa! Wa kwenye fridge na picha ya mwisho wako bize kweli, utoto raha! Yaani hawaoni kosa lolote.
Hata mm nilikuwa nawaza hivyo man. Kwenye cheti ni habari nyingine... hapo dozi lazima itokeMi ntawasamehe ila hapo kwenye hiyo picha ya cheti lazima alie mtu siku nyingine asirudi