Ndevu mbili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 379
- 42

habar JF!

Siwezi sema nawachukia ila nimesema nimewaona rafiki zangu mpaka wengine hunipigia simu niwashauri.

Huku europe ukiwa nae mpenzi huwezi kua na stress kwa kua anakujali naww unamjali. Uongo katika mapenzi ndio unaosababisha matatizo ya kiakili na hasira sizo muhim. Maana utakua unapoteza muda wako wa kujenga taifa uliopo.

Hilo linachangia kuwa muongo kwa mpenzi wako na kutokua huru wa akili zako.

Fikiria unae mpz eneo lako la kazi...unae mpz mwingine ukienda kumtembelea rafiki yao maeneo ya mvali na kwako pengine hata sehem ya kazi ya rafiki yako.

Hivi wapenzi wote hao ni ajili gani? Unaweza kunisaidia kujua nini kinachotafutwa?

Hata wakina dada nao wanakua hivyo hivyo!

Tujadili ili tubadilke...si mfumo mzuri.

aisee! Ngoja tutafute wapenzi huko europe ambao hawana stress.

Hata huku *ajira* inasumbua!

Lakin huko mnasumbua zaidi. Ndio nataka faham kipi kinawadangenyeni?
Mwambie akufanyie mpango wa kwenda huko..tehe

kumbe unaongelea ajira sio mapenzi!!

Habar JF!

Siwezi sema nawachukia ila nimesema nimewaona rafiki zangu mpaka wengine hunipigia simu niwashauri. Huku europe ukiwa nae mpenzi huwezi kuwa na stress kwa kuwa anakujali na wewe unamjali. Uongo katika mapenzi ndio unaosababisha matatizo ya kiakili na hasira sizo muhimu. Maana utakua unapoteza muda wako wa kujenga taifa uliopo. Hilo linachangia kuwa muongo kwa mpenzi wako na kutokua huru wa akili zako.

Fikiria unae mpenzi eneo lako la kazi...unae mpenzi mwingine ukienda kumtembelea rafiki yako maeneo ya mbali na kwako pengine hata sehemu ya kazi ya rafiki yako.Hivi wapenzi wote hao ni kwa ajili gani? Unaweza kunisaidia kujua nini kinachotafutwa? Hata wakina dada nao wanakua hivyo hivyo! Tujadili ili tubadilke...si mfumo mzuri.

Mwambie akufanyie mpango wa kwenda huko..tehe
Nimekushtukia mapema sema nilitaka ukiri kwa kinywa chako ili yatimie mawazo yangu...lol... Ntakusindikiza yakhe... Wewe tena?..

si ndio maana najipendekeza pendekeza hapa. Hujaushtukia mchezo nini? Utanisindikiza eapoti eeh?

kumbe unaongelea ajira sio mapenzi!!

hilo neno,hata mimi huwa najiuliza hata kuwa manage inakuwaje wakiwa wengi au ndo wengine unasaidiwa?aghhhhhhhhhhhhhhhhh ndo maana umasikini hauishi halafu tunalalamika kumbe tunajitakia kwa kuwa na mlolongo wa manamake ,wengine hata nguvu za kiume hazitoshelezi wanaishi kwa viaga ili waonekane vidume.
Maisha ndio yanawadanganya.

Hata huku ajira inasumbua!

Lakin huko mnasumbua zaidi. Ndio nataka faham kipi kinawadangenyeni?
Haya watu wa Europe hebu tujuzeni, kulikoni?Habar JF!