Ndio maana wanatutesea watoto wetu

huyo dada nae ilikuwaje akavaa kanga moja?

Sometimes si kosa lake, kaachwa pekeyake home keshafanya kazi zake kamaliza kenda oga! Ile anatoka bafuni uso kwa uso na 'baba'
 
kama si kanga mimi ningedhani hapo wamesimama wanaume wawili...
 
Sometimes si kosa lake, kaachwa pekeyake home keshafanya kazi zake kamaliza kenda oga! Ile anatoka bafuni uso kwa uso na 'baba'

Kwa nini asirudi bafuni hadi mkuu wa kaya aingie ndani? Au kwa nini asikimbie ndani kabla hajaonwa? Huyu bint mkuu wa kaya karudi usiku kagonga yeye kawa wa kwanza kufungua utafikiri kaagizwa amfungulie
 
Sometimes si kosa lake, kaachwa pekeyake home keshafanya kazi zake kamaliza kenda oga! Ile anatoka bafuni uso kwa uso na 'baba'

si kweli mshana hawa ni wajanja wanajua kutegeshea usiwaone hivi
 
Iko hivi: binti anabanwa mwanzo mwisho na hasa baba mwenye nyumba halafu baadae anaanza kunawiri ameshajua kuoga na kupaka lotion, baba anawaka tamaa anaanza kumendea kwa mbinu zote ajuazo

Binti anagomagoma lakini mwisho wa siku anazidiwa anaachia mambo na taratibu mahaba mapya yanagejengeka kati ya mwajiri na mwajiriwa

MADHARA:
-Kuna kipindi binti atakuwa anahitaji huduma lakini haipati kwakuwa pengine mama yupo home hajaenda job kwa Sikh kadhaa, chuki huanza kujengeka
-Binti atajiona ni sawa tu na mama kwakuwa wote wanachangia mume
-Chuki kwa mtoto, kuna kipindi wanataka kufanya upuuzi wao lakini mtoto hachezi mbali anakuwa kikwazo
 
Wasiendekezwe hao.Hawakawii kufanya "mapinduzi" na kuwa "wa-mama wenye nyumba" mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…