Ndg naomba msaada kwa mwanangu

John kirua

Senior Member
Joined
Dec 7, 2021
Posts
143
Reaction score
108
Iyo hali hata sielewi jaman naomba ushauri nitumie dawa gani mwanangu hapone wakuu.
 
Pia kuna tube ya kupaka ya Elyclob- specifically inaitwa Tripple Action De Dreme, hakika itakusaidia, pia aogee sabuni testmosol kisha unampaka hio dawa. All the best Mungu ni mwema kila wakati
 
Apake dawa inaitwa Elocom ni nzuri sana, mwanangu pia ana shida kama hiyo huwa anatoka vipele tumboni, mgongoni, miguuni na kichwani ila akipaka hiyo dawa siku mbili tu vinakauka vyote. Japokuwa ni bei kiasi hiyo dawa maana tube ya 50g inauzwa almost 25k ila ni msaada mkubwa sana
 
Tafuta sabuni ya dawa hasa Dettol (Kuna cool, active, skincare, origin na zinginezo Ila hakikisha n original Mana fake n nyingi mtaan) Kama upo dar, Arusha au Dodoma nenda shoppers supermarket n uhakika Mana wao wanaingiza direct kutoka India na chache South Africa ambazo zote n original. Bei kuanzia 1,500.00

Kuosha kichwa na kuoga Ni maji ya Moto Bei jua gharama ya mkaa au gesi hapo nyumbani kwako

Ikiwezekana nunua Dettol ya maji Ile yenye chupa ya kuvunjika uwe unachangania na hayo maji Bei n kuanzia 2,000.00

Tafuta tube zisizo na cream ambazo zinaua bacteria na fungus maduka ya dawa zipo Bei n kuanzia 3,000.00


Ukitumia huu ushauri baada ya siku Saba utaona mabadiliko makubwa Sana.

Kingine na muhimu usimnyoe mpaka nywele ikawa hvyo fanya uwe unazipunguza kwa kiasi tuu
 
Wee mpake utomvu wa aloe vera tu mkuu, asubuhi na jioni utaona matokeo baada siku 3 tu.
 
Unashindwa kumpeleka hospital unakuja Jf.
 
Asante sanaa ndg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…