Ndege zimeanza mazoezi

Duuuuu..... Imekatiza moja hapa ubungo Midaa hiii
 
Hizo pesa zilizotumika kununulia mafuta wangenipatia zingetosha kununua viwanda vidogo kwa ajili ya kusindika nyanya japo mikoa miwili Iringa na Morogoro, ambao ndiyo wakulima wakubwa wa zao Hilo na wakulima wangeepukana na hasara.
Kiwanda kinanunuliwa wapi? Hujielewi
 
Hizo pesa zilizotumika kununulia mafuta wangenipatia zingetosha kununua viwanda vidogo kwa ajili ya kusindika nyanya japo mikoa miwili Iringa na Morogoro, ambao ndiyo wakulima wakubwa wa zao Hilo na wakulima wangeepukana na hasara.
Siku moja utasema pesa za kununulia silaha zitumike kusimika viwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…