Ndege za miaka 100 ijayo.

kweli hizi ni ndoto za alinacha...
 
sasa picha yake imepatikana wapi kama yenyewe bado haijaanza kutumika?
 
Nimesoma aerodynamics. Ni shida sana au ni imposible kurusha ndege yenye muundo huo!
 
Nimesoma aerodynamics. Ni shida sana au ni imposible kurusha ndege yenye muundo huo!

Inaweza ikashuka chini kabla haijafika juu. Hahahaha
 
Ndege samaki? au ndio kama ile aliyokuwa akiitumia muhudumu wa kwenye ndege kwenye picha la kuitwa Commando(Komando John) Arnold Schwarzenegger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…