NDEGE YAGONGA JENGO NA KUANGUKA KATIKATI YA MJI WA MAREKANI

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,486
Ndege ndogo aina ya Cessna 172, jana iligonga jengo
lililoko katika Manispaa ya Anchorage, Alaska nchini
Marekani na kusababisha kifo cha mtu mmoja.

Kwa mujibu wa ripoti ya FBI kuhusu tukio hilo, rubani
aliyekuwa anaiendesha ndege hiyo aliyefahamika kwa jina
la Doug Demarest mwenye umri wa miaka 42 alifariki. FBI
ambayo inachunguza tukio hilo imeeleza kuwa rubani huyo
aliirusha ndege hiyo bila kibali.
548a9254c73e551b705520ada22d9737.jpg

Ngege aina ya cessna-172
Ndege hiyo inamilikiwa na shirika la kiraia linalosaidia
kufanya ukaguzi wa usalama angani, utafutaji na uokoaji
katika majanga mbalimbali.
 
Ajali ni ajali tu. Ila kuna watu wagumu sana anaweza kuponea chupuchupu akadai shirika kwa kuwasababishia hofu na usumbufu.
 
Back
Top Bottom