Utazidi kushangaa bado hajakuelewa hii ndio dunia kila mtu ana uelewa tofauti.Kuna siku niko pub napata mvinyo kaibuka mdada mmoja kaniuliza eti hapa wanauza bia nikamjibu hapana wanauza vitunguu.
Duu kweli tunatofautiana sana kuelewa. Anasema kuwa yuko eneo la Lugalo ameona ndege ndogo angani ambayo anahisi inaelekea kuanguka maana kaiona inayumbayumba na inatoa moshi (hii inamaanisha moshi unaotoka siyo wa kawaida)