Ndege iliyotulisha nyasi Watanzania na kupokelewa na Lowassa miaka ile inaendeleaje?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,066
40,725
Nasikia zilitumika bilioni sitini ya miaka zaidi ya kumi iliyopita. Nasikia eti Mramba aliomba Watanzania wote wale nyasi kwa muda ili zipatikane fedha za kuinunua, hivi iko wapi? Na haiwezi ikafanyiwa modification ili wapewe ATCL wabebee abiria kwenda hata sauzi tu?

===========================
Update: 23/02/2022

==========================
Update 29/07/2023

Nasikia zilitumika bilioni sitini ya miaka zaidi ya kumi iliyopita. Nasikia eti Mramba aliomba Watanzania wote wale nyasi kwa muda ili zipatikane fedha za kuinunua, hivi iko wapi? Na haiwezi ikafanyiwa modification ili wapewe ATCL wabebee abiria kwenda hata sauzi tu?
Your wish has come true....
 
Magufuli huwa anasikilizaga kila nicharopoka humu, hahaha.., ila awe makini maana muda mwingine huwa natania tu
 
Nasikia zilitumika bilioni sitini ya miaka zaidi ya kumi iliyopita. Nasikia eti Mramba aliomba Watanzania wote wale nyasi kwa muda ili zipatikane fedha za kuinunua, hivi iko wapi? Na haiwezi ikafanyiwa modification ili wapewe ATCL wabebee abiria kwenda hata sauzi tu?
Mshua kaigawa kwa ATCL jana
 
Nasikia zilitumika bilioni sitini ya miaka zaidi ya kumi iliyopita. Nasikia eti Mramba aliomba Watanzania wote wale nyasi kwa muda ili zipatikane fedha za kuinunua, hivi iko wapi? Na haiwezi ikafanyiwa modification ili wapewe ATCL wabebee abiria kwenda hata sauzi tu?
Fanya utafiti kwanza kabla ya kuongelea mambo usiyokuwa na uhakika nayo.
 
Back
Top Bottom