Ndege iliyopotea ikitafutwa

Taarifa nilizozipata hivi punde ni kwamba kwa sasa timu ya watafutaji wa ndege hiyo imeingia kwenye bahari ya Hindi kuendelea na msako wa kuitafuta ndege hiyo
Bila shaka ni wakati mwafaka kwa watanzania kushiriki kikamilifu kwenye zoezi hili la kuitafuta ndege hii
 
Wamarekani wanafuatilia data zilizokuwa zinarushwa na Engine za ndege..wanaona uwezekano hata kama ni finyu kuwa ndege haikuanguka.. sasa hii ya kwenda Bahari ya Hindi.. isije ikawa ndege imetua Kilwa au Manerumango hasa ukijua Radar yetu ni kimeo...
 
Uskute imeenda Katavi.....
 
Hivi mimi sielewi hii stori dude kubwa kama ndege tena boing inaweza ikapoteaje ??????????
 
Ingekuwa bongo, JK angetupa wiki nzima ya mapumziko...ili wananchi tusaidie kuitafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…