Ndege iliyobeba Msafara wa Timu ya Yanga SC 259 kwenda Algeria yaamriwa Kutua kwa Dharula Ethiopia kushusha Hirizi nzito

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,738
109,175
Na mpaka muda huu GENTAMYCINE naandika hapa Wamefanikiwa Kushusha Mabegi Sita yenye Hirizi, Nazi, Mkojo wa Kenge, Sikio la Kicheche, Kende za Fisi na Mayai Viza ila Begi Moja limekataa Kutolewa katika Ndege hivyo juhudi Kali zinaendelea Kulishusha.

Yanga SC bhana yaani Ndege ya Watu 259 nyie mmejaza Waganga wa Kienyeji 73 hata Aibu hamna.
 
Back
Top Bottom