NDC(National Development Corp) kuna uozo tu hakuna watalaam tena

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
16,114
26,006
Nimeona clip, (nitajaribu kui-upload) Waziri Muhongo akimkaripia Mkurugenzi wa NDC kwa kutotumia kichwa chake vizuri.
Inasikitisha, jamaa anshindwa hata kujieleza vizuri, mradi wa makaa unaendaje .

Halafu jamaa amejifutika masuti na matai, waziri imebidi amwambie hayo masuti na tai havina maana sana kama hutumii akili kutatua matatizo ya kikazi.

NDAC lilikuwa shirika lililokuwa mbele sana katika kubuni, kujenga na kuwekeza kwenye miradi kwa niaba ya serikali.
Kwa watu walioonyeshwa kwenye clip hiyo, watu hao inaelekea hakuna tena, wamebaki magharasha walio tengenezewa ajira kiulaini.

Huu ni uozo, mbaya Zaidi ya jipu.
 

Attachments

  • 2752431fcaf60daf4635165052376899.mp4
    4.2 MB · Views: 29
Kati ya wachapakazi wachache ninaowafahamu ni huyo mkurungenzi wa ndc, sio kila jambo linafanyika kutokana na makosa ya mkurugenzi, shirika si mtu mmoja ni watu wengi ingawa lawama zinaweza kutupwa kwa mkuu wa shirika. ukiachana na hilo ambalo unalipigia kelele, toa mfano mwingine wa makosa yanayokufanya upigie kelele humu Jf.
 
Huyu muongo anasema kitu kidogo hauitaji kuwa na tai wakati yéyé alidakuwa hajui kuwa makampuni yakihuziana hisa yy ndo anakuwa approval kwa sheria ya fedha ya mwaka 2012 ilihali alisha approve ya ophir kuuza hisa sipendi watu wanapenda sida wakiwa ktk media
 
Back
Top Bottom