ndani ya ndoa na bado mpweke daah..!

red apple

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
780
Reaction score
1,216
yaani mume wangu anapenda kazi acha tu, si. jioni si usiku... imagine muda huu yupo mezan hes working. najitahidi kujisexisha labda ata kuja kwa bed lakini nehi
.... nampenda mume wangu bt yeye anaonekana anapenda zaidi kazi yake... nimemuuliza mara kadhas kama na m'bore.. but he is like everything is ok... cha kushangaza tunakaa hadi 4 weeks bila tendo la ndoa.
..!! yaan nipo ndoan bt lonely. Help me guys nifanyeje kumrudisha my huby???
 
Je perfomance yake ikoje kitandani?
 
Im so evil! Pole sana.
Mie ningekuambia get a life and make him jelousy and chase you around. Usimfuatilie. Mpongeze kwa kufanya kazi kwa bidii na kupay bills.ingia jf post weeh, ukimaliza chat fb, then kaweke mipicha yako instagram (angalia mapozi na mavazi usijw ukaonekana kama matangazo).

Spend time na marafiki na watoto kama unao. Ataanza kuwa na wasiwasi, mtakuwa karibu na mambo yatahappen
 
siku za nyuma he was good.. lakin sku izi kapunguza sana.
 

heheee nlishawahi ku jaribu kuishi maisha yangu na kwel ili work sana... and then mambo yanajirudia so ndo itakuwa life style yangu??? daaah
 
Kaa naye chini umueleze kwa kina hii tabia ya kukaa wiki nne bila kukugusa inakukera sana mwambie abadilike kwa faida ya ndoa yenu au hayo maisha uliyowahi kuishi miezi ya nyuma ndiyo itabidi iwe life style yako. Pole sana.

heheee nlishawahi ku jaribu kuishi maisha yangu na kwel ili work sana... and then mambo yanajirudia so ndo itakuwa life style yangu??? daaah
 
swadata maelezo yako tu mpaka nimemwona namba 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…