Daladala za mwananyamala kuna dereva mmoja teja halafu mlevi yaani maarufu kishenzi huyo jamaa,siku nimepanda gari lake amelewa chakari halafu haogopi hata trafiki yaani kupita pale vijana club wakapanda wenzake kama kumi hizo story humo ndani nilijua tumetekwa!