Ndani ya Daladala!......

Sie wafanya biashara za Daladala huu uzi unatufaa,,,
Natumai kufanya maboresho kulingana na nitakayo weza kumpatia assistant
 
Nunua gari la kwako mkuu.
 
🙂🙂
huu uzi utadumu kama ule wa usiku wa manane
 
na mvua hizi we acha tu
 
Sio mm kweliii??
 
Kuna watu wananuka midomo kama nguru halafu wanapenda kuongea kwa nguvu,tena kama ni simu ataongea nayo mwanzo wa safari hadi mwisho...kama huna pumzi ya kutosha unaweza zirai kwa muda.
 
Mi wananikera wanaomuongelesha dereva,yani nahisigi kama atakosea njia.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…