CCM kwa mujibu ya viongozi wa chadema hakuna fisadi ila tatizo ni mfumo tu.LOWASSA ni mtu safi ninani basi fisadi ndani ya ccm?
labda tumuulize mbowe ,mnyika,slaa,lipumba watuambie je ccm kunamafisadi? hakuna ushahidi wowote unaoonyesha ccm wapo mafisadi kwasababu hata waliokuwa wanamtaja naye kaonekana sio fisadi.
CCM HAKUNA FISADI TATIZO TULIDANGANYWA NA DR SLAA NA WENZAKE
Mwenye ushahidi wa ufisadi wa kiongozi yeyote wa CCM aulete na hatutaki porojo na asiishie kuusema tu amfikishe huyo fisadi kunakohusika.
Kwasasa CHADEMA/UKAWA wamedhihirisha kwamba CCM ni chama cha kizalendo na mafisadi hakuna. RAIS JKIKWETE SAAFI,MKAPA SAAFI,CHENGE SAAFI,N.K
kwa sasa hakuna ufisadi ccm waliokuwepo ni lowasa na kundi lake ambalo sasa lipo chadema
Tibaijuka aliyemuunga mkono lowassa alipoanza safari ya matumaini....Kwanza tunaomba kujua ile list ya waliogawana fedha pale stanbic,baada ya hapo ndio tutaendelea
kwa sasa hakuna ufisadi ccm waliokuwepo ni lowasa na kundi lake ambalo sasa lipo chadema
Ni kweli banaa kama Lowassa si fisadi hakuna ufisadi Tanzania ila ni usanii tu wa wanasiasa
Mwenye ushahidi wa ufisadi wa kiongozi yeyote wa CCM aulete na hatutaki porojo na asiishie kuusema tu amfikishe huyo fisadi kunakohusika.
Kwasasa CHADEMA/UKAWA wamedhihirisha kwamba CCM ni chama cha kizalendo na mafisadi hakuna. RAIS JKIKWETE SAAFI,MKAPA SAAFI,CHENGE SAAFI,N.K
hizi ndizo akili nyingi za wanachama wa ccm hata ukiwa professor au Dr ukiwa tu mwanachama wa ccm lazima u prof na u Dr wako uweke pembeni zinabaki zidumu fikra za mwenyekiti mkuu mbona unakuwa na matumizi mabovu ya akili namna hiyo? swali gani unauliza hata watoto waliotumboni mwa mama zao wanajua jinsi gani ccm ilivyo kiwanda cha kutendeneza mafisadi tena kwa kutumia technology ya hali ya juuMwenye ushahidi wa ufisadi wa kiongozi yeyote wa CCM aulete na hatutaki porojo na asiishie kuusema tu amfikishe huyo fisadi kunakohusika.
Kwasasa CHADEMA/UKAWA wamedhihirisha kwamba CCM ni chama cha kizalendo na mafisadi hakuna. RAIS JKIKWETE SAAFI,MKAPA SAAFI,CHENGE SAAFI,N.K
Pinda na wenzie walikatwa kwa kuwa hana maadili,sasa kwanini bado wanashikilia ofisi badala ya kuwajibika kisiasa!Wananchi tuelezwe ni VP watu hao walikiuka maadili ya kazi na hatua zipi zichukuliwe!
Kwanza tunaomba kujua ile list ya waliogawana fedha pale stanbic,baada ya hapo ndio tutaendelea
CCM vichekesho Makamu Wa Raid Na Waziri Mkuu wake hawana MAADILI tulitegemea wangeondolewa ktk NYADHIFA zao lakini mpaka Leo wapo Hiyo ndio CCM BWANA
hizi ndizo akili nyingi za wanachama wa ccm hata ukiwa professor au Dr ukiwa tu mwanachama wa ccm lazima u prof na u Dr wako uweke pembeni zinabaki zidumu fikra za mwenyekiti mkuu mbona unakuwa na matumizi mabovu ya akili namna hiyo? swali gani unauliza hata watoto waliotumboni mwa mama zao wanajua jinsi gani ccm ilivyo kiwanda cha kutendeneza mafisadi tena kwa kutumia technology ya hali ya juu