Ndanda vs Yanga kucheza DSM

Mjukuu.Slim

Member
Nov 18, 2015
31
35
*News:*
*Habari njema kwa wana Yanga wooooteeeee mchezo kati ya Yanga na Ndanda uliokuwa ufanyike ijumaa huko Mtwara sasa utafanyika siku ya jumamosi katika uwanja wa Taifa Dar.

Hii ni baada ya kufanyika makubaliano maalum kati ya uongozi wa Yanga na Ndanda na tayari bodi ya ligi umeridhia hii ni habari ya uhakika 100% pia mchezo huo utatumika kuwakabidhi Yanga kombe lao la ubingwa*
 
... yanga wazoefu wa kununua mechi. tff kama kawaida ni kupitisha madudu. na mashabiki wa ndanda watakuwa mameudhika sana kukosa mechi ya yanga mtwara.
Wana pitisha bodi ya ligi, tff hapo hawahusik na bodi ya lig inaundwa na kila tim ikiwemo simba

Hasa watu wakikubaliana ttzo ni nn!!?
 
Tatizo Sheria tifua tifua hasisemi watu wakikubariana wanaweza cheza mchezo uwanja wowote watakao uchagua.
 
*News:*
*Habari njema kwa wana Yanga wooooteeeee mchezo kati ya Yanga na Ndanda uliokuwa ufanyike ijumaa huko Mtwara sasa utafanyika siku ya jumamosi katika uwanja wa Taifa Dar.Hii ni baada ya kufanyika makubaliano maalum kati ya uongozi wa Yanga na Ndanda na tayari bodi ya ligi umeridhia hii ni habari ya uhakika 100% pia mchezo huo utatumika kuwakabidhi Yanga kombe lao la ubingwa*
ni habari njema kwa mabingwa wa soka tz
 
*News:*
*Habari njema kwa wana Yanga wooooteeeee mchezo kati ya Yanga na Ndanda uliokuwa ufanyike ijumaa huko Mtwara sasa utafanyika siku ya jumamosi katika uwanja wa Taifa Dar.Hii ni baada ya kufanyika makubaliano maalum kati ya uongozi wa Yanga na Ndanda na tayari bodi ya ligi umeridhia hii ni habari ya uhakika 100% pia mchezo huo utatumika kuwakabidhi Yanga kombe lao la ubingwa*
Malinzi ni kiongozi wa hovyo hovyo kabisa!Kwa hiyo nao Barcelona acheze na LEVANTE game ya mwisho uwanja wao wa nyumbani sababu akabidhiwe kombe lao NC Stadium?

Huwezi badili ratiba sababu tu upewe kombe lako ktk uwanja wako wa home,uongozi wa ajabu sana huu kw akweli
 
Yanga inaondoka jumamosi usiku kwenda Angola hivyo Ndanda wameonesha Uzalendo mechi ichezwe Dsm ili Yanga waweze kuwahi usafiri wa Ndege itakayoondoka saa 5 usiku wa jumamosi....
 
Ni jambo la kiungwana sana hili, Ndanda wameonyesha uzalendo na kujali maslahi mapana ya Nchi.
Kwa namna ya miundombinu ya usafiri wa Nchi yetu ulivyo hakika Yanga wangechoka kwenda Mtwara na kurudi halafu waunganishe Angola.

Nawapongeza Ndanda fc na bodi ya ligi kwa kuangalia maslahi ya nchi, Yanga akisonga mbele kwenye kombe la shirikisho ni faida kwa nchi nzima.
 
Malinzi ni kiongozi wa hovyo hovyo kabisa!Kwa hiyo nao Barcelona acheze na LEVANTE game ya mwisho uwanja wao wa nyumbani sababu akabidhiwe kombe lao NC Stadium?

Huwezi badili ratiba sababu tu upewe kombe lako ktk uwanja wako wa home,uongozi wa ajabu sana huu kw akweli
Kama unajua vile kumbe holaaaaa!! Barcelona wanakipiga na Granada na sio Levante.
Hivi unazijua kanuni zinazoendesha ligi kuu Tanzania bara!!!!!
 
SOMENI KANUNI HIZI HAPA HALAFU MJIULIZE
.........
Uwanja wowote utakaotumika kwa michezo ya
Ligi Kuu ni lazima uthibitishwe na TFF. Kilabu
itachagua na kutambulisha uwanja wake wa
nyumbani na kuiarifu TFF/TPLB katika kipindi
cha Uthibitisho wa ushiriki Ligi Kuu.
(2) Katika mazingira maalum timu inaweza
kucheza mchezo wake wa nyumbani katika
uwanja mwingine endapo kuna sababu nzito na
za msingi, utambulisho wa uwanja katika
mazingira haya pia unawajibika kufanywa katika
kipindi cha uthibitisho wa kushiriki ligi au kwa
maombi maalum kwa TPLB angalau siku saba (7)
kabla ya tarehe ya mchezo husika.
(3) Katika kutambulisha uwanja wake wa
nyumbani timu itawajibika kuainisha vipimo vya
uwanja huo, aina ya majani (asili au bandia),
kama unaweza kuchezewa mechi usiku au la,
una uwezo wa kuingiza watu wangapi (stadium
capacity) na mamlaka inayomiliki uwanja huo.
(4) Endapo timu yoyote haina uwanja wa
nyumbani unaofaa kwa mchezo wa Ligi Kuu
inaweza kuchagua uwanja mwingine katika mji au
mkoa jirani na mkoa wa timu husika ndani ya
Tanzania Bara ilimuradi uwanja huo uwe na sifa
zinazokubalika na uthibitishwe au kuidhinishwa
na TFF, baada ya uteuzi wa uwanja timu
haitaruhusiwa kubadilisha uwanja huo kinyume na
sababu za kikanuni.
(5) Kutokana na sababu za kiusalama, uwanja
kutofikika au sababu nyingine yoyote ya msingi,
TFF kwa kushauriana na timu mwenyeji husika
inaweza kuhamishia mchezo husika katika
uwanja wa mji au mkoa jirani unaokidhi haja hiyo.
(6) TFF ina mamlaka ya mwisho ya kuhamisha
mchezo katika uwanja mwingine au kubadilisha
kituo cha mchezo kwa sababu inazoona zinafaa
kwa mchezo na wakati husika.
........ ......
 
Back
Top Bottom