D Dotowangu JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 242 Reaction score 77 Apr 24, 2012 #1 duh maisha yanabadilika zamani mtu akiwa na kitambi basi atahesimika na kuonekana mwenye nazo mla vizuri...leo hi mtu mwenye ndambi anaonekana lofa tu mla hovyo na asiyefanya mazoezi....mtu wa lete ntalipa..
duh maisha yanabadilika zamani mtu akiwa na kitambi basi atahesimika na kuonekana mwenye nazo mla vizuri...leo hi mtu mwenye ndambi anaonekana lofa tu mla hovyo na asiyefanya mazoezi....mtu wa lete ntalipa..