Nchi zinazoidai Tanzania

MICSIMON

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
41
Reaction score
13
Angola inaidai Tanzania kiasi Cha Trillion 12.5 Kwa mnaofahamu mnisaidie hapa.
Tulikopanini kwa Angola wataalam?

 
Mradi unaishi mikopo ya jirani yako isikufanye ukose usingizi.

Watajua wao waliokopa
 
Iraq wanatudai vipi tena jamani wale si kila siku wako vitani?🙄
 
Mafuta ni uraibu wa kila nchi duniani. Hata Uganda wakianza kuuza mafuta watatudai tu
 
Mndaiwa sii mwizi... Ahsante kwa taarifa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…