Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,674
- 20,689
Madalali watulie tu dawa iwaingie vizuri!!! Walizoea sana ganji raundi hii hawatoboiBasi watanzania wana roho mbaya sana... Kumbe South Africa kuna wachina 400000, Kenya 50000 na wametuzidi maendeleo lakini sisi kuna wachina 30000 tu alafu madalali pale kariakoo mshipa unawatoka 😆
Sahihi kabisa. Mimi nilidhani hapa wapo wengi kuzidi nchi nyingi za Africa Mashariki kumbe hata Uganda inao wengi zaidi. Kwa wavivu wa kusoma hii article kutoka Wikipedia yenye takwimu hizi:Utafiti mtandaoni unaonyesha Africa kuna Wachina 1m. South Africa ikiwa na Wachina zaidi ya laki nne. Nchi ya Zambia ina wachina 100,000. Kenya wapo 50,000. Tanzania yetu wapo 30,000.
Mytake. Kwa labour cost ya China haikutakiwa tulielie wakija kwetu kutuuzia bidhaandogo ndogo. Vitu kama viatu, nguo, mikanda, toys na mapambo, furnitures, Chinaware nk sisi ndiyo tulitakiwa tuwe tunaenda kuuza kwao. Sometimes mtu unaona bora waje tu akili itukae sawa.
Natamani wachukue na mashamba walime maana naona hii ardhi yetu inaozea chini Bure tu. Haiwezekani hata mafuta ya kula tununue nje
Kafulila alisema anawaleta 300KUtafiti mtandaoni unaonyesha Africa kuna Wachina 1m. South Africa ikiwa na Wachina zaidi ya laki nne. Nchi ya Zambia ina wachina 100,000. Kenya wapo 50,000. Tanzania yetu wapo 30,000.